RAV 4 milango 3 inauzwa 3.5

RAV 4 milango 3 inauzwa 3.5

Joined
May 22, 2015
Posts
5
Reaction score
1
RAV4 milango 3 ya mwaka 95 no A inauzwa tsh 3.5(fixed) ipo sinza kwa walio serious tu wacheck na alioachiwa hiyo gari 0673094095
 

Attachments

  • 1434159907888.jpg
    1434159907888.jpg
    18.9 KB · Views: 598
  • 1434159982994.jpg
    1434159982994.jpg
    17.8 KB · Views: 505
3.5 rav 5 unauza bodi au gari rav 4
 
Unusual, ebu toa taarifa za ukwel why that price kwa Rav4? Maana hyo pesa hata Passo upati
 
Ndio maana amesema kwa walio serious,mambo mengine ya kilometrage,vibali,engine inachemsha,aibags zimepasuka nk.mtaongea pia ameweka wazi kuwa mwenye gari mwenyewe hayupo .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom