GIUSEPPE
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 5,239
- 6,242
Umeona ee, check plate namba zinavyo ninginia, hii kweli sio second hand ni third hand. alafu rangi kama vile repainted. Alafu ukiangalia kwa haraka kama vile mlango wa nyuma mbovu au umetumika sana kubebea mizigo. Alafu hizo tires zake vipi, zafaa kwa mjini kweli? Alafu hiyo tinted glass yake mbona inaonyesha mpaka abiria ndani? by the way ndo shi ngapi vile? although its good for emergency use.Mkuu kwa hiyo namba inavyoonekana nina wasiwasi itakuwa imekula MILEAGE Nyingi sana hiyo...!