acha roho mbaya ya kuogopa kutoa lift,hilo gari lina siti nyuma ya dereva kwa taharifa yakoBei nzuri,
Hii mie ndio inanifaa,maana hakuna kuombana lifti kuongeza joto.
Toleo hili ni roho ya paka,ngum sana
We mdukuzi nyuma naweka Mbwa au Paka.
Kizungu zaidi