Raum na spacio

Mk54

JF-Expert Member
Dec 29, 2016
1,996
3,939
Kati ya hizi gari mbili ,Ipi ni gari ina yoweza kuhimil safar za mikoani?kwa maana ipi NI gari imara zaidi?
 
Zote ni sawa tu.. ukiangalia specifications za Engine zinafana kabisa..
 
Kati ya hizi gari mbili ,Ipi ni gari ina yoweza kuhimil safar za mikoani?kwa maana ipi NI gari imara zaidi?
Gari zote mbili ziko poa, cc zake zinalingana ni 1500...ila kuna matoleo mengine ya Spacio yana cc 1800...Hili ni zuri zaidi endapo unasafiri na familia yako pamoja na mizigo ya zawadi...inakuwa na nguvu sana.
 
Ahsante sana boss ,Ubarikiwe.
 
Kati ya hizi gari mbili ,Ipi ni gari ina yoweza kuhimil safar za mikoani?kwa maana ipi NI gari imara zaidi?
Kwa experience yangu,

Spacio ndio bora kushinda raum. Raum, ni luxury sana, na haina uwezo wakuhimili misukosuko ya barabara mbovu.

Spacio ni corolla, na model karibia zote za corolla, wamejitahidi mno kubakikisha mfumo wa ulaji wa mafuta ni wa kawaida au mdogo kabisa, na uimara. Zaidi urahisi wa upatikanaji wa vipuri vyake, raum ni "kama" iko complicated sana.

So, nakushauri go for Spacio, you will enjoy.

Ukupenda waweza wasiliana nami ikiwa unahitaji kununua.

Email :

ecarstanzania@gmail.com

Karibu.
 
Ahsante sana boss ,kuna mtu told me same thing .
Ebwana Mbona hupatikan siku hiz ?
 
Mambo yamekua ni mengi kaka, i mean. Kazi zimekuwa ni nyingi so muda muda unakua unabana kidogo.
 
Back
Top Bottom