S Smallfish JF-Expert Member Joined Feb 16, 2012 Posts 241 Reaction score 66 Jul 24, 2013 #1 Naomba wataalamu, wazoefu, wenye mbinu bila kusahau wenye imani zote wanijuze namna ya kupata mtoto wa kike na wakiume katika ratio sawa kwenye ndoa.Nathamini jinsia zote ila napenda mchanganyiko au family gender balance
Naomba wataalamu, wazoefu, wenye mbinu bila kusahau wenye imani zote wanijuze namna ya kupata mtoto wa kike na wakiume katika ratio sawa kwenye ndoa.Nathamini jinsia zote ila napenda mchanganyiko au family gender balance
V Viscom Senior Member Joined May 23, 2013 Posts 155 Reaction score 17 Jul 24, 2013 #2 Omba Mungu wako acha kutanguliza sana akili zako na za watu tu.
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,365 Jul 24, 2013 #3 Are you ke or me? 2anzie hapo!
Passion Lady JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 8,694 Reaction score 4,646 Jul 24, 2013 #4 mungu ndio kila kitu kwa binadamu sidhani kama ni rahisi endapo mungu hajapanga hivyo!