Ratiba ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya

Aeronautical

Senior Member
Jun 19, 2019
140
140
Habari wanamichezo hapa JamiiForums,

Ratiba ya robo fainali ya UEFA imetoka.

Naona chama langu Barcelona tuna wakati mgumu, naamini Manchester city atafika mbali sana.

1594390592064.png
 
Sielewi kwanini kila mtu ana assume kuwa Real Madrid tayari kishatoka. Wakat bado kuna second leg hatujacheza.
Madrid anaenda kumalizia second leg, first leg alifungwa 2 nil kama nakumbuka vizuri.

Trend ya matokeo ya Madrid msimu huu kwa viwanja vya ugenini ni ya kutilia shaka sana mara nyingi amepoteza, katoka sare au kapata ushindi mwembamba.

Man city Etihad hawajawahi kutoka bila goli hivi karibuni hivyo Madrid atakaposhambulia atakutana na dhahama ya Man city.

Kingine Madrid kwa sasa kikosi chake kinachoipa matokeo ni cha wachezaji vijana kuliko experienced na hakuna muunganiko mzuri kutokana na rebuild wanayoifanya.

Japo mpira ni dakika 90 matumaini ya Madrid kusonga mbele ni madogo sana.
 
Sielewi kwanini kila mtu ana assume kuwa Real Madrid tayari kishatoka. Wakat bado kuna second leg hatujacheza.
Nawashangaa sana hawa jamaa,hawataamini macho yao na vile jinsi ile lockdown ya Corona ilivyotusaidia wataona moto wetu.
 
Tena leo anakipiga na juventus...hii itakuwa bonge la game. Amefanya kazi nzuri sana pale atalanta yaani i just love watching that team play.
Atalanta imekuwa timu yenye safu bora sana ya ushambuliaji, ukiingia hovyo hovyo wanakupiga magori mengi huku wakikupa nafasi nawewe umpige kama unaweza. Juve leo akipoteza na akipoteza tena mechi inafuata dhidi ya lazio na mechi moja nyingine zaidi basi Atalanta anaweza akachukua ubingwa wa Serie endapo watashinda mechi zote zilizosalia.
 
Tatizo lao nii hiyo funga nikufunge...but kwa kweli forward line yao nzuri kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom