Ratiba ya Interview ya eGA imekaaa vibaya Sanaa tarehe 26 written, tarehe 29 pract, tarehe 03 oral.

mrMaco

Member
Jun 19, 2020
90
151
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juuu, yanii kwa atakeyefanikiwa kufika tarehe 03 ambayo ndio siku ya mwisho ya Interview atakuwa ametumia muda wa siku 8, hizo siku 8 kama unalala Lodge hivi utatumia bei gani plus chakula plus nauli go and return...
Ili kuhudhuria hii Interview inatakiwa uwe na kibunda cha kutoshaa...
 
Samahan hivi eGA basically ni nini? Nauliza, maana vitu vya kitanzania maelezo ya Google yanakuwaga sio ya kuridhisha
 
Aah sawa, Ahsante
Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) ni taasisi ya umma yenye mamlaka ya kuratibu, kusimamia na kukuza jitihada za Serikali Mtandao pamoja na kuhimiza utekelezaji wa Sera, Sheria, Kanuni, Viwango na Miongozo ya Serikali Mtandao kwa taasisi za umma.
Mamlaka hii imeanzishwa mwaka 2019.

Kabla ya kuanzishwa Wakala ya Serikali Mtandao, matumizi ya TEHAMA Serikalini yalikuwa yanaratibiwa na kusimamiwa na Idara ya Usimamizi wa Mifumo (DMIS).
 
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juuu, yanii kwa atakeyefanikiwa kufika tarehe 03 ambayo ndio siku ya mwisho ya Interview atakuwa ametumia muda wa siku 8, hizo siku 8 kama unalala Lodge hivi utatumia bei gani plus chakula plus nauli go and return...
Ili kuhudhuria hii Interview inatakiwa uwe na kibunda cha kutoshaa...
Mzee kama hela iko nenda nafasi moja wapo ni yako
 
Back
Top Bottom