kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,571
- 2,192
Sababu kubwa ya uamuzi huo 'Bado hawajapata benchi la uhakika la ufundi'.
Cha kujiuliza ni nini kisa cha kumtimua Brandts!? Je yawezekana baada ya kuangalia timu pinzani uoga umeingia?kwamba kipigo kingine kutoka kwa mnyama iwapo watakutana kitaleta mtafaruku jangwani? Nini hasa?
Mambo ya Yanga tuachie Yanga wenyewe. Overall; Mapinduzi Cup ni bonanza jingine hivyo usikonde Mkuu.
Timu ya yanga imejitoa kwenye kombe la mapinduzi cup kutokana na kuvunja penchi la ufundi. Sasa kunakiongozi mmoja wa ngazi za juu selikarini amekimbilia kenye chombo kimoja cha redio kwenda kuikandia yanga kutokana na itikadi yake ya simba. Yanga ni timu kubwa nainajiandaa na mashindano ya kimataifa sasa unapoilazimisha yanga icheze mashindano wakati haijajiaandaa wewe nimbumbu wa michezo mawazo yake yote anaangalia yanga ikacheze na simba zanziba nawala siokuangalia mashindano hayo yakimataifa.
Wametukosesha uhondo, tungekutana nao tungejipigia tano zingine safiiiii.Bonanza!real?Mzee Karume!Yanga ya Manji! Ukuta Kaseja, Bartez, Luhende na Canavaro!!!Embu Sikiliza maneno ya busara ya Katabaro ' Mzee Karume lazima tumuenzi kwa kushiriki kuthamini mchango wake kwa Yanga hasa Zanzibar inapoadhimisha miaka 50'!! Hii ni hofu dhahiri!! Ukuta wa Yanga kwa sasa ni 'chekecheke'.
Wewe mtoa mada unaushaki usio na maono umezoea kucheza kwenye mashindano ya bonanza ligi imewashindeni mnashika nafasi ya nne niaibu sana kuongoza alafu mwisho wa mzunguko wa kwanza unashika nafasi ya nne uwezo wa simba nikucheza mabonanza kama hayo ya mapindu cup nakuwa na migogolo ya milele kula kukicha