Hennes kolon
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 673
- 1,297
hii Vita/operation ya Hamas dhidi ya Israel , itabadili upepo wa Vita ya Ukraine na Russia . i
kumbukwe hivi majuzi spika wa US amevuliwa u spika kwa kile kinachodhaniwa matumizi mabaya ya cheo chake kwa kupitisha maazimio ya misaada ya ma bilioni ya pesa kwenda Ukraine . lakini haikumaanisha kwamba spika ajaye hata toa msaada wa kifedha Ukraine la hasha , angetoa lkn si kwa kiasi kikubwa Kama alivyofanya mtangulizi wake.
Sasa kwa Vita hii iliyoibuka Leo huko Israel ambapo inadaiwa zaidi ya raia wa Israel 100 wamepoteza maisha , na rocket za Hamas bado zinaendelea kufurusha kuelekea Israel, naamini kwa Sasa US na NATO watakimbilia kutoa msaada Israel uwe wa kifedha au vinginevyo , hapo ndo mwanzo wa Ukraine kuachwa peke yake , na spika atakaye kuja atakuwa kapata sababu nzuri ya kuitosa mazima Ukraine kimsaada.
Na hapo ndipo upepo wa Vita ya Russia na Ukraine utakapo badirika ghafla.israel ni Kama roho ya mataifa haya US, UK, na Hawa ndo NATO wenyewe . Ukraine ijiandae kisaikolojia maana Putin naye atatumia mwanya huu kuongeza mashambulizi makali .