Rasmi: Ukimfumania mara 490 ruksa kutoa talaka

Labda kama umemfunga application ya android papuch tracker kwenye.Kwa wanaume kamilika hatutoi talaka ila tuna mpunish na gifts za nguvu then yule fala wake ana shika ukuta akiwa anaona.Tlaka sio suluhisho ni kuwapa uwanja wasasambuane.
🥰
 
Hahaha....aiseeeee, hatari. Ukisamehe, unasahau ndugu. Hivyo notebook yanini?
Naweka kumbukumbu kwa matumizi ya baadaye.Maana hawakawii kukukana hadharani.Digital camera ntanunua mwenyewe😂😂😂😂😂
 
Yaani Mara 490 zote natombewa tu? Aliyeagiza hilo sidhani kama alikuwa na mke na akaonja uchungu wa kuchapiwa aisee!
 
Wanabodi
Kumekuwa na ongezeko la hali ya juu ya kutalikiana au kutoa talaka kwa wanandoa eidha kwa kujua au kutokujua madhara yake baadaye.
View attachment 1099121
Kwa ufupi kabisa, MUNGU ANACHUKIZWA SANA NA WANANDOA KUTALIKIANA AU KUACHANA.
View attachment 1099116
Hebu tuone mungu anasema nini:-
Mwanzo 2:24
"Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja."
Malaki 2:15-16
"...Kwa hiyo jihadharini roho zenu; mtu awaye yote asimtende mke wa ujana wake mambo ya hiana. Maana mimi nakuchukia kuachana, asema BWANA, Mungu wa Israeli; naye aifunikizaye nguo yake kwa udhalimu namchukia, asema BWANA wa majeshi; basi jihadharini roho zenu, msije mkatenda kwa hiana."
Mathayo 19:5-7
"...akasema, Kwa sababu hiyo, mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja? Hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi aliowaunganisha Mungu, mwanadamu asiwatenganishe."
HIVI, KWELI WAWILI HAO WALIOKUA MWILI MMOJA BAADA YA KUUNGANISHWA, NI NANI AWEZAYE KUWATENGANISHA? HAYUPO, NARUDIA, HAYUPO HAPA CHINI YA JUA WALA JUU YA JUA ISIPOKUA UMAUTI TUU. KWA WALE WALIOSOMA KEMIA WATAELEWA, KUNA NJIA NYINGI ZA KUTENGANISH VITU LAKINI NJIA YA KUTENGANISHA MTU NA PUMZI YAKE NI IPI KAMA SIYO KIFO TUU?
Sasaje, ni nini kilichopelekea hadi MUSA kuruhusu watu kutalikiana??
( NI UGUMU WA MIOYO YAO)
Mungu anapowaambia mafarisayo ni "ugumu wa mioyo yao anamaanisha hawakuwa wamempokea yesu kama mwokozi wa maisha yao na sheria kuu ya upendo haikuwa mioyoni mwao na kiashiria kikubwa kilikuwa ni hiki:-
Galatia 5:19-22
"Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.
Marko 10:2-12 na mathayo 5:31-32
"Akaondoka huko akafika mipakani mwa Uyahudi, na ng’ambo ya Yordani; makutano mengi wakakutanika tena wakamwendea; akawafundisha tena kama alivyozoea. Basi Mafarisayo wakamwendea, wakamwuliza, Je! Ni halali mtu kumwacha mkewe? Huku wakimjaribu. Naye akajibu, akawaambia, Musa aliwaamuru nini? Wakasema, Musa alitoa ruhusa kuandika hati ya talaka na kumwacha. Yesu akawaambia, Kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu aliwaandikia amri hii. Lakini tangu mwanzo wa kuumbwa ulimwengu, aliwafanya mume na mke. Kwa sababu hiyo mtu atamwacha babaye na mamaye, ataambatana na mkewe; na hao wawili watakuwa mwili mmoja; hata wamekuwa si wawili tena, bali mwili mmoja. Basi alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe. Hata nyumbani tena wanafunzi wakamwuliza habari ya neno hilo. Akawaambia, Kila mtu atakayemwacha mkewe na kuoa mwingine azini juu yake; na mke, akimwacha mumewe na kuolewa na mtu mwingine, azini."
Mathayo5:31-32( MUNGU AMAANISHA NINI HAPA? ISIPOKUWA UASHERATI?)
31Imenenwa pia, Mtu akimwacha mkewe, na ampe hati ya talaka; 32lakini mimi nawaambia, Kila mtu amwachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini.
Ikumbukwe, hakuna amri kubwa wala amri ndogo katika amri za Mungu. Mungu anaposema isipokuwa uasherati. Je, uasherati ni nini? NKJV INASEMA " SEXUAL IMMORALITY". Kifupi ni pale unapofanya ngono na mtu ambaye hamjafungamanishwa naye, yaweza kuwa kiroho au kimwili.
Lakini, bwana asema, ijapo kua dhambi zako ni nyekundu kama damu nitazifanya nyeupe kama theluji. Pia bwana Mungu asema tusamehe ili tusamehewe pia sisi makosa yetu. Je, kuna mtu msafi awezaye kumnyooshea kidole mwenzake? Kabla ya kujisema wewe ni msafi, jilinganishe na Mungu ndio ujue usafi ulionao.
Mwisho wa siku, bwana asema katika mathayo 18:22
" Kisha Petro akamwendea akamwambia, Bwana, ndugu yangu anikose mara ngapi nami nimsamehe? Hata mara saba? Yesu akamwambia, Sikuambii hata mara saba, bali hata saba mara sabini."
Yaani, ikimshika anafanya ngono na mtu tifauti na wewe mme/mke wa halali akaomba samahani na akajutia kosa lake huna budi kumsamehe, akifanya hivyo tena jioni ma akakiri kwamba kafanya na akajuta huna budi kumsamehe. Yaani hata kwa siku afanye zaidi ya mara 5 na kila muda akakuomba msamaha hina budi kumsamehe. Ikumbukwe, pale unapomsamehe, unasahau. Kwaiyo akikosea tena unaanza kuhesabu upya mpaka zifike mara 490 basi mtaliki.
Ila kwasababu ya mahonjwa mengi, tizingatie afya na taratibu zote zitakazofanya tusipatwe maradhi.
"HII NDIYO GHARAMA YA UKRISTO, SAMEHE ILI MUNGU AKUSAMEHE NA URITHI UFALME WAKE".
Zaidi
Shetani akiwatawala mkashindwa kuishi pamoja, mkiachana basi kila mmoja abaki vivyo hivyo bila kuoa au kuolewa kwa maana akifanya hivyo yeye ufanya UZINZI na wazinzi mwisho wao ni "moto wa jehenam".
Rejea
Biblia:union version :king jamez version
Mahubiri ya dodoma: uzoefu wa nguvu ya mungu( somo la kaya na familia na mama Urio) kupitia Morning star radio, hope channel tv, star tv na rock fm mbeya. Kila siku kuanzia saa 12 jioni hadi saa 2 usiku viwanja vya dodoma kati.
Barikiwa.
Kanisa la KKKT liliweza kuwatenganisha wakiwa hai na mme kuruhusiwa kuoa mke mwingine! Askofu alisema walirudi kundini na mke mpya mwaka 2014! Mke wa kwanza alifariki Novemba 2018! Hivyo kati ya 2014 na 2018 mme alikuwa na wake wawili kabla ya kifo kuwatenganisha 2018 na mke wa pili 2019!
 
Ikumbukwe, hakuna amri kubwa wala amri ndogo katika amri za Mungu. Mungu anaposema isipokuwa uasherati.

Je, uasherati ni nini? NKJV INASEMA " SEXUAL IMMORALITY". Kifupi ni pale unapofanya ngono na mtu ambaye hamjafungamanishwa naye, yaweza kuwa kiroho au kimwili.

Lakini, bwana asema, ijapo kua dhambi zako ni nyekundu kama damu nitazifanya nyeupe kama theluji. Pia bwana Mungu asema tusamehe ili tusamehewe pia sisi makosa yetu. Je, kuna mtu msafi awezaye kumnyooshea kidole mwenzake? Kabla ya kujisema wewe ni msafi, jilinganishe na Mungu ndio ujue usafi ulionao.

Mwisho wa siku, bwana asema katika mathayo 18:22

" Kisha Petro akamwendea akamwambia, Bwana, ndugu yangu anikose mara ngapi nami nimsamehe? Hata mara saba? Yesu akamwambia, Sikuambii hata mara saba, bali hata saba mara sabini."

Yaani, ikimshika anafanya ngono na mtu tifauti na wewe mme/mke wa halali akaomba samahani na akajutia kosa lake huna budi kumsamehe, akifanya hivyo tena jioni ma akakiri kwamba kafanya na akajuta huna budi kumsamehe. Yaani hata kwa siku afanye zaidi ya mara 5 na kila muda akakuomba msamaha hina budi kumsamehe. Ikumbukwe, pale unapomsamehe, unasahau. Kwaiyo akikosea tena unaanza kuhesabu upya mpaka zifike mara 490 basi mtaliki.

Ila kwasababu ya mahonjwa mengi, tizingatie afya na taratibu zote zitakazofanya tusipatwe maradhi.

"HII NDIYO GHARAMA YA UKRISTO, SAMEHE ILI MUNGU AKUSAMEHE NA URITHI UFALME WAKE".

Zaidi
Shetani akiwatawala mkashindwa kuishi pamoja, mkiachana basi kila mmoja abaki vivyo hivyo bila kuoa au kuolewa kwa maana akifanya hivyo yeye ufanya UZINZI na wazinzi mwisho wao ni "moto wa jehenam".

Rejea

Biblia:union version
:king jamez version
Mahubiri ya dodoma: uzoefu wa nguvu ya mungu( somo la kaya na familia na mama Urio) kupitia Morning star radio, hope channel tv, star tv na rock fm mbeya. Kila siku kuanzia saa 12 jioni hadi saa 2 usiku viwanja vya dodoma kati.

Barikiwa.

Do not base your damn life na quotes za Biblia au Qur'an, unajilostisha bure. Tumia common sense ku deal na maisha yako, hivyo vitabu have nothing to do with your life.
 
Wafilipi 4:8
"Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yenye kupendeza, yo yote yenye sifa njema; ukiwapo wema wo wote, ikiwapo sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo."
 
Kanisa la KKKT liliweza kuwatenganisha wakiwa hai na mme kuruhusiwa kuoa mke mwingine! Askofu alisema walirudi kundini na mke mpya mwaka 2014! Mke wa kwanza alifariki Novemba 2018! Hivyo kati ya 2014 na 2018 mme alikuwa na wake wawili kabla ya kifo kuwatenganisha 2018 na mke wa pili 2019!
I korintho 7:1-2
"Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika, ni heri mwanamume asimguse mwanamke. Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe."

1timothy 3:1-
Ni mke mmoja kwa kila mwanamume, huo ndio mpango wa Mungu. Lakini kwa "ugumu wa mioyo", hayo utokea. No excuse before the word of majesty GOD.

1 corithians 3:19

"For the wisdom of this world is foolishness with God. For it is written, He taketh the wise in their own craftiness."

Kwa kiswahili
"19Maana hekima ya dunia hii ni upuzi mbele za Mungu. Kwa maana imeandikwa, Yeye ndiye awanasaye wenye hekima katika hila yao. ".

Tumsikilize Mungu pekee, mwanadamu ana asili ya dhambi. Make God your role model yo each and everything.
 
Wafilipi 4:8
"Hatimaye, ndugu zangu, mambo yo yote yaliyo ya kweli, yo yote yaliyo ya staha, yo yote yaliyo ya haki, yo yote yaliyo safi, yo yote yenye kupendeza, yo yote yenye sifa njema; ukiwapo wema wo wote, ikiwapo sifa nzuri yo yote, yatafakarini hayo."

Again una quote Biblia, that's not your life. Use your common sense.
 
Yes! Am quoting it again. Am not living my life, this life belongs to someone somewhere whom am refering/quoting always...

genesis 1:26
"Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu..."

You see, my breath and everything i own is for grant, at a moment they will be taken back.

I will quote it until am turning to dust as HE said, am dust and to dust i will return one day...

We have famous people who have gone already, Albert Einsten, sir Isaac Newton and like those, at a time they declaired existance of God who is revieled through His word "bible", His scriptures.

NewtonIsaac-God500x250px.jpg

I humbly invite you to Learn from this Great teacher, omnipresent and omniscient the living God.

Be blessed
 
Back
Top Bottom