Rasmi nimeamua kumwacha

Mwanaume wa dar unakuwa dhaifu kwenye maamuzi unachelewa chelewa kuamua
 
Hebu kunywa bia mkuu usheherekee ushindi.
 
Yes tukiwa kawa wew mia iv watahacha kuchezea hisia zetu vzr kwa kutetea bland y wanaume (kama tulivyopanga kweny vikao vyetu kaza mbaka aombe yeye msamaha)
 
Kuna binti nimemtema ndani ya wiki hii baada ya kuona ana utoto mwingi KUACHA NI MAAMUZI SAHIHI
 

Broo umefanya makosa makubwa kumtamkia mwanamke tuachane njia uliotumia sio sahihi ilitakiwa hapo ukaushee tuu bana
 
Kumbe ulikuwa bado tu, shubamit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…