Najipongeza pia namshukuru sana Mungu mimi sio teja wa kamari ya aina yoyote, nimejizuia na nimefanikiwa kutokuwa mlevi wa mpira, niliamua kufanya hivyo baada ya kugundua hiyo ni aina mbaya zaidi ya ulevi, unalewa huku unazo fahamu zako zote. Asante Mungu.