Rasmi mafuta yamepanda hadi sh 3800

Rasmi mafuta yamepanda hadi sh 3800

bikira latifah

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2016
Posts
806
Reaction score
2,576
Mda huu sheli ya oilcom wameshabadilisha bei ni rasmi bei ya Mafuta ni sh 3820 petroli na sh 3806 kwa diesel

Maana.yake serikali.ishatoa baraka tayari
IMG_20260401_005717_875.jpg

Haya mnaoshabikia vita mpoo
 
Mda huu sheli ya oilcom wameshabadilisha bei ni rasmi bei ya Mafuta ni sh 3820 petroli na sh 3806 kwa diesel

Maana.yake serikali.ishatoa baraka tayariView attachment 3565378

Haya mnaoshabikia vita mpoo
Ngoma nzito everywhere!

Ingawa Marekani wana mafuta, hata wao nao mambo yao sio shwari. Los Angeles bei ya mafuta ni roughly $6 per gallon (i.e., equivalent to more than TZS 4,000 per liter)!
 
Mda huu sheli ya oilcom wameshabadilisha bei ni rasmi bei ya Mafuta ni sh 3820 petroli na sh 3806 kwa diesel

Maana.yake serikali.ishatoa baraka tayariView attachment 3565378

Haya mnaoshabikia vita mpoo
Hata timu za mpira zikishinda huko nje huwa sifa mnampa Mwajuma, na hili la kuponda kwa bei za mafuta ahusishwe huyohuyo Mwajuma. Iwe sifa au lawama vyovyote itakavyokuwa basi ni kwamba Mwajuma anahusika moja kwa moja.
 
Ngoma nzito everywhere!

Ingawa Marekani wana mafuta, hata wao nao mambo yao sio shwari. Los Angeles bei ya mafuta ni roughly $6 per gallon (i.e., equivalent to more than TZS 4,000 per liter)!
Bei ya mafuta inapangwa kidunia. Hata tukichimba wenyewe bei ya crude itakuwa ile iliyotangazwa na soko la dunia.
 
Kama Rais anatangaza mafuta yatapanda Bei ikiwa hata vita Iran haina 10days vipi ikifika 30days?

Uzuri mambo kama haya yanaenda kuwaunganisha pamoja watanzania.

Nauli daladala kituo had kituo inaenda kuwa 1,000/= mpaka 1,200/=

Nauli mwanza - dar kawaida 100,000/=
Nauli Dar - Arusha 60,000/=

Sukari 1kg 4,500/=

Mchele 1kg 4,000/=

Bado naona Hali ya jua Kali na ukame Kuanzia April - June Sasa mikoa yenye imeanza paliz ya kwanza waombe sana.

Ila mpaka Christmas watanzania wote watakuwa wameisoma namba na watakuwa wanaongea lugha Moja
 
Back
Top Bottom