Superman R I P Joined Mar 31, 2007 Posts 5,693 Reaction score 1,707 Mar 12, 2012 Thread starter #21 Mtende said: mahusiano yanaweza kusitishwa endapo mmoja atagunduluka ni mwathirika mmoja atagundulika ana maslahi binafsi udanganyifu wa aina yeyote utakapogunduluka Click to expand... Asante sana Mkuu Mtende, Updates tayari.
Mtende said: mahusiano yanaweza kusitishwa endapo mmoja atagunduluka ni mwathirika mmoja atagundulika ana maslahi binafsi udanganyifu wa aina yeyote utakapogunduluka Click to expand... Asante sana Mkuu Mtende, Updates tayari.
Superman R I P Joined Mar 31, 2007 Posts 5,693 Reaction score 1,707 Mar 12, 2012 Thread starter #22 WALIMWEUSI said: [ Ibara ya Kumi Na Moja Kusitisha Mahusiano Sehemu 1 mahusiano yanaweza kusitishwa endapo moja kati ya haya yametokea:1. . . . .Kutaka kufanya mapenzi kinyume na maumbile2. . . . .3. . . . . Click to expand... Nimekusoma mkuu. Upadates tayari.
WALIMWEUSI said: [ Ibara ya Kumi Na Moja Kusitisha Mahusiano Sehemu 1 mahusiano yanaweza kusitishwa endapo moja kati ya haya yametokea:1. . . . .Kutaka kufanya mapenzi kinyume na maumbile2. . . . .3. . . . . Click to expand... Nimekusoma mkuu. Upadates tayari.
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,628 Mar 13, 2012 #23 Mtende said: mahusiano yanaweza kusitishwa endapo mmoja atagunduluka ni mwathirika mmoja atagundulika ana maslahi binafsi udanganyifu wa aina yeyote utakapogunduluka Click to expand... mimi naona hapo redi ujatenda haki. lazima mazingira yaliyosababisha kuathirika yaangaliwe.mfano kama alibakwa etc.
Mtende said: mahusiano yanaweza kusitishwa endapo mmoja atagunduluka ni mwathirika mmoja atagundulika ana maslahi binafsi udanganyifu wa aina yeyote utakapogunduluka Click to expand... mimi naona hapo redi ujatenda haki. lazima mazingira yaliyosababisha kuathirika yaangaliwe.mfano kama alibakwa etc.
Nicas Mtei JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 11,556 Reaction score 7,113 Mar 13, 2012 #24 Smile said: mimi naona hapo redi ujatenda haki. lazima mazingira yaliyosababisha kuathirika yaangaliwe.mfano kama alibakwa etc. Click to expand... Smile upo? Ngaku miss
Smile said: mimi naona hapo redi ujatenda haki. lazima mazingira yaliyosababisha kuathirika yaangaliwe.mfano kama alibakwa etc. Click to expand... Smile upo? Ngaku miss
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,268 Mar 13, 2012 #25 Aisee nakupendekeza uingie kwenye timu ya Rais ya mabadiliko ya Katiba na hakikisha maoni ya wadau yanafikishwa na kuzingatiwa katika katiba mpya ya JMT
Aisee nakupendekeza uingie kwenye timu ya Rais ya mabadiliko ya Katiba na hakikisha maoni ya wadau yanafikishwa na kuzingatiwa katika katiba mpya ya JMT
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,268 Mar 13, 2012 #26 Superman said: Smile, imetulia hii. Ngoja tuwasikie na Wadau wengine. Nimesha update. Click to expand... Asa mbona unaondoka?? subiri basi nichangie
Superman said: Smile, imetulia hii. Ngoja tuwasikie na Wadau wengine. Nimesha update. Click to expand... Asa mbona unaondoka?? subiri basi nichangie