Rasimisha biashara yako

Rasimisha biashara yako

Joined
Jan 1, 2014
Posts
63
Reaction score
42
Habari

Ili biashara yako itambulike kisheria basi yakupasa uisajili kwa kuzingatia taratibu zote zinazohitajika ili uweze kukamilisha usajili wako, unaweza kuisajili ukiwa kama mmiliki binafsi (Individual), ubia (Partnership) au Kampuni (Company).

Na ili uweze kukamilisha usajili huu lazima uwe na Namba za NIDA na TIN, TIN ni kwa wanaohitaji kusajili Kampuni tu.

Pia kwa Kampuni lazima uwe na Memorandum and Articles of Association.
Usajili unafanyika BRELA kupitia system yao mpya ya Online Registration System (ORS) lakini kwa wale ambao watakuwa na uhitaji wa kufanyiwa usajili huu basi usisite kuwasiliana nasi Sharose Enterprise kwa namba 0718887102/ 0755440118 ili tuweze kukufanikishia usajili wako.

Karibu sana
 
Back
Top Bottom