VUA GAMBA VA GWANDA
Member
- Jul 25, 2013
- 12
- 0
Kumekuwapo na utumiaji vibaya wa rasilimali za nchi yetu ambapo siasa imekuwa ikitumika kuliko ukweli wa uhalisia, mi ningeomba katiba mpya itamke kuwepo na uwazi katika mikataba itakayo sainiwa na viongoz mbalimbali ili kujilidhisha na rasilimali zitakazo tumika na kipato kitakacho kuwa kinatozwa kiwe sawia na rasilimali zetu.