daby mouser
JF-Expert Member
- Feb 9, 2012
- 206
- 73
rashidi yekini reported dead!!!posted by nigerianeye at 04/5/2012 09:42:00 pm, the legend of football rashidi yekini has died.a sad day for sports in nigeria and world rashidi yekini scored nigeria's ever fifa world cup goal clutching the goal net thereafter.he scored a total of 34 goals in 58 appearances for the super eagles.may his soul rest in peace.
Yekini, aliyewahi kuwa mchezaji bora wa Afrika mara mbili, amekuwa akiugua maradhi ya akili kwa zaidi ya miaka mitatu iliyopita na aliripotiwa kuwa mgonjwa kwa kipindi kifupi kabla ya kuaga dunia hiyo jana.Rashidi Yekini Reported DEAD!!!Posted by NigerianEye at 04/5/2012 09:42:00 PM, the Legend of football Rashidi Yekini has died.A Sad day for sports in Nigeria and world Rashidi Yekini Scored Nigeria's Ever FIFA World Cup goal clutching the goal net thereafter.He scored a total of 34 goals in 58 Appearances for the Super Eagles.May His Soul rest in peace.
Oh no!!
Rashid Yekini alikuwa bonge moja la center-forward.
Super Eagles ya mwaka 1994 ilikua tishio. Daima itakumbukwa na Yekini alikuwa mmoja wa wachezaji waliokimbiza sana mwaka ule katika kombe la mataifa huru ya Afrika na kwenye kombe la dunia USA.
Pumzika kwa amani kamanda. Ulitufurahisha wengi na tulijisikia faraja kutuwakilisha huko USA. Utakumbukwa daima milele.
nakumbuka alivyotikisa nyavu kwa hisia mno baada ya kufunga goli world cup 94
kumbe ile image ilikuja kuwa ndio image ya world cup ya 94
analia kwa furaha huku anavuta nyavu...
the best super eagle striker ever..r i p
RIP yakin.amenikumbusha super eagles ya Taribo west,babayaro,amokachi,J J okocha