Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,809
- 218,463
Ni kweli kabisa. Keko si mahali salama hata kidogo ukitembelea maeneo yale utatembea kwa woga sanaaa!Hakuna asiyeufahamu umahiri wa Rashid Matumla katika ndondi , huyu ni kati ya mabondia wachache sana walioliletea Taifa hili heshima kubwa sana .
Lakini kama ilivyo ada , katika kila jema kuna upande wa pili wa mabaya , Baada ya kupata umaarufu ule , Rashidi akaamua kuzaa watoto wasio na idadi , mithili ya kufyatua matofali kwenye mashine ya umeme .
Ana watoto zaidi ya 10 , ambao ameshindwa kuwatunza na wamegeuka WAKABAJI , ( Mkazi yeyote wa keko anaweza kuthibitisha )
Kama angezaa watoto ambao angeweza kumudu gharama za elimu yao , hali ingekuwa tofauti , kwa mtu masikini kama Rashidi kumiliki watoto 15 ni kujitakia balaa tuKwani Rashid Matumla ndio mwenye makosa au watoto
ahaaa sawa mkuuKama angezaa watoto ambao angeweza kumudu gharama za elimu yao , hali ingekuwa tofauti , kwa mtu masikini kama Rashidi kumiliki watoto 15 ni kujitakia balaa tu
Uchunguzi wangu umebaini kwamba watoto wawili wamenusurika , mmoja ni msichana na mwingine ni bondia ambaye hata hivyo hatoweza kupigana tena , maana hivi karibuni alipasuka fuvu ulingoni .Unamaanisha watoto wake wote wamekuwa vibaka?
Taarifa zinadokeza kwamba Mbwana tangu atoke jela nje ya nchi kwa kosa la kufanya biashara ya " Makinikia " , mentally hayuko vizuri sana .Hakuna marefu yasiyo na ncha. Enzi zake ilikuwa ukienda PTA au Diamond kwenye pambano la ngumi lazima ukute Matumla kama watatu wanapigana siku hiyo na wote wanashinda, mpaka unanuna. Ujio wa cheka kidogo ulileta upinzan kwa jamaa.
Nadhan kushuka umaarufu wa ndondi nchini kumechangia hao watoto wake kujiingiza kwenye uhalifu. La sivyo wote hao wangekuwa kwenye gym ya familia wanajifua na kusubiri siku ya mechi wapigani. Wapi Mbwana? Wapi Mkwanda?
Sure, nimekumbuka nilisikia yuko South kwenye ngumi. Kumbe ni makinikia! Alikuwa bondia mzuri sana kama kaka yake.Taarifa zinadokeza kwamba Mbwana tangu atoke jela nje ya nchi kwa kosa la kufanya biashara ya " Makinikia " , mentally hayuko vizuri sana .
Hawana ujuzi wowote ule utawasaidiaje ? Ni hivi , vijana wengi wa Keko Magurumbasi , Keko Mwanga , keko Machungwa na Keko Torori mwisho wa elimu yao ni darasa la 7 tu .Hahah hahah kwa hiyo kaleta janga kulalamika haitasaidia tafakari namna yakuwasaidia
Hawana ujuzi wowote ule utawasaidiaje ? Ni hivi , vijana wengi wa Keko Magurumbasi , Keko Mwanga , keko Machungwa na Keko Torori mwisho wa elimu yao ni darasa la 7 tu .
Si afadhari ingekuwa hivyo .Vijana wa huko wengi wanaujuzi na ni wataalamu wa kuhifadhi Juzuu , hushindana kuhudhuria madrasa
Kama ingekuwa hivyo hiii hoja ya msingi kuwa kuna vibaka ingetoka wapi kenge wewe?Vijana wa huko wengi wanaujuzi na ni wataalamu wa kuhifadhi Juzuu , hushindana kuhudhuria madrasa