Rashid Matumla alikataa Uraia wa Marekani kwa sababu Marekani ni Mabeberu!

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,257
Kuna haya mabebi kuwa Marekani waliamua kumpa uraia rashid matumla lakini baba yake akamtaza asichukue kwa sababu flan flan....leo hii matumla amechoka ile mbaya na bila shaka akiwaona akina mayweather wanakula kuku kwa mrija inamuuma sana.

Huwezi kuwa na akili timamua ukapewa uraia wa marekani ukakataa... Angalau chukua. Vuna pesa zao then ukishakuwa tajiri rudi njoo wekeza hapa home. Itikadi nyingine zinakufanya ufe maskin na kipaji unacho.

Sasa matumla amekuwa chuma chakavu hali yake ni mbaya. Mara mwishi miaka ile alikukwa na toyota baloon sijajua kwa sasa anatembelea gari gani.

Ila angejua angechukua uraia wa nchi za watu wenye akili maisha yake yangekuwa mazuri sana.
 
Tatizo sisi binaadamu tunatofautiana sana kutafsiri 'MAENDELEO' hivi Matumla amewahi kulalamika kwamba hajafikia ndoto zake? Nimeshangaa sana unaposema mara ya mwisho alikua anatembelea Baloon kwahiyo kwasasa hujui anatembelea gari gani. Huenda ndoto zake ilikua siku moja amiliki Pikipiki yake binafsi, sasa kutembelea Baloon ni kwamba alivuka malengo. Tusiishi kwa kushindana na watu kila mtu ana ndoto zake, mashindano mazuri ni kushindana na malengo yako kwa kujitahidi kuwa bora zaidi ya jana. Jiwekee malengo yanayowezekana, pambana kuyafikia na ukishayafikia furahia maisha kwanini ufe kwa stress kwa kujiwekea Malengo ya akina Bakhressa?
 
Hahahahaha nimecheka sana aisee eti alikataa uraia wa Marekani kisa ubeberu huyo hana tofauti na wale wanaoimba kila siku kuwa Marekani ni Kafiri Mkuu hapa Duniani huku moyoni na hadharani mubashara wanang'ang'ania kwenda huko.
 
Hivi ushafuatilia matukio na kauli ya Matumla ya hivi karibuni au umeamua tuu kuleta maneno yenu ya kwenye makaratasi bila kujua uhalisia halisi wa maisha anayoishi?
 
Baniani mbaya kiatu chake dawa... binadamu ni wanafiki kuliko tunavyodhani.

Hahahahaha nimecheka sana aisee eti alikataa uraia wa Marekani kisa ubeberu huyo hana tofauti na wale wanaoimba kila siku kuwa Marekani ni Kafiri Mkuu hapa Duniani huku moyoni na hadharani mubashara wanang'ang'ania kwenda huko.
 
Hivi ushafuatilia matukio na kauli ya Matumla ya hivi karibuni au umeamua tuu kuleta maneno yenu ya kwenye makaratasi bila kujua uhalisia halisi wa maisha anayoishi?
Simfuatilii kwa hiyo unatakiwa utuambie Matumla kalalamikia ABC na utuambie hatakiwi kulalamika kwasababu LMN, huwezi ukatoka from nowhere tu ukatwambia mtu flani asingefanya kosa DEF angekua GHI, kwani yeye anataka kua GHI?
 
kumbe tatizo ake litakuwa ni kubwa kuliko nlivyofikiri. kama alijiwekea malengo kumiliki pikpiki kwa kupitia masumbwi basi nadhan atakuwa na mtindio wa ubongo wa wakati. huwezi kuwa na akili nzuri ukawa unapigwa ngumi ulingoni ili uje kumiliki pikpik. ukiwaangalia akina mayweather na tyson unajiona nawe unawaza kama binadamu kumbe unawaza kama nyani.
Tatizo sisi binaadamu tunatofautiana sana kutafsiri 'MAENDELEO' hivi Matumla amewahi kulalamika kwamba hajafikia ndoto zake? Nimeshangaa sana unaposema mara ya mwisho alikua anatembelea Baloon kwahiyo kwasasa hujui anatembelea gari gani. Huenda ndoto zake ilikua siku moja amiliki Pikipiki yake binafsi, sasa kutembelea Baloon ni kwamba alivuka malengo. Tusiishi kwa kushindana na watu kila mtu ana ndoto zake, mashindano mazuri ni kushindana na malengo yako kwa kujitahidi kuwa bora zaidi ya jana. Jiwekee malengo yanayowezekana, pambana kuyafikia na ukishayafikia furahia maisha kwanini ufe kwa stress kwa kujiwekea Malengo ya akina Bakhressa?
 
wewe ni mdogo wake yupi katika wale alio nao? au ni mtoto wake yupi katika wale wezi na vibaka? au ni msamalia mwema ambaye umeshiriki kumpoteza ndugu yetu kwa sasa anapigana ndondi za ndondo? mitanzania mingi ni mijinga na mbwana samatta angekuwa na akili kama hizi mngakuwa mnashinda tu kumsoma kwenye magazeti kuwa sasa anatembea na wolper au wema. mnashinda naye vijiweni tu kuvuta bhangi mwenzenu alishagundua maisha yako huko kwa wazungu....hao hao tunaowana ni wabaya.

Tatizo sisi binaadamu tunatofautiana sana kutafsiri 'MAENDELEO' hivi Matumla amewahi kulalamika kwamba hajafikia ndoto zake? Nimeshangaa sana unaposema mara ya mwisho alikua anatembelea Baloon kwahiyo kwasasa hujui anatembelea gari gani. Huenda ndoto zake ilikua siku moja amiliki Pikipiki yake binafsi, sasa kutembelea Baloon ni kwamba alivuka malengo. Tusiishi kwa kushindana na watu kila mtu ana ndoto zake, mashindano mazuri ni kushindana na malengo yako kwa kujitahidi kuwa bora zaidi ya jana. Jiwekee malengo yanayowezekana, pambana kuyafikia na ukishayafikia furahia maisha kwanini ufe kwa stress kwa kujiwekea Malengo ya akina Bakhressa?
 
Simfuatilii kwa hiyo unatakiwa utuambie Matumla kalalamikia ABC na utuambie hatakiwi kulalamika kwasababu LMN, huwezi ukatoka from nowhere tu ukatwambia mtu flani asingefanya kosa DEF angekua GHI, kwani yeye anataka kua GHI?
Ndio maana mleta mada akaleta huo Uzi wa yeye kukataa Uraia wa Marekani halafu sasa hivi analialia ooh mara hela ya matumizi ooh mara matibabu.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Tatizo sisi binaadamu tunatofautiana sana kutafsiri 'MAENDELEO' hivi Matumla amewahi kulalamika kwamba hajafikia ndoto zake? Nimeshangaa sana unaposema mara ya mwisho alikua anatembelea Baloon kwahiyo kwasasa hujui anatembelea gari gani. Huenda ndoto zake ilikua siku moja amiliki Pikipiki yake binafsi, sasa kutembelea Baloon ni kwamba alivuka malengo. Tusiishi kwa kushindana na watu kila mtu ana ndoto zake, mashindano mazuri ni kushindana na malengo yako kwa kujitahidi kuwa bora zaidi ya jana. Jiwekee malengo yanayowezekana, pambana kuyafikia na ukishayafikia furahia maisha kwanini ufe kwa stress kwa kujiwekea Malengo ya akina Bakhressa?
Bosi mbona povu zito sana, kama haujui kuwa jamaa watu wanamuona kama kibaka kwa sasa mtaani si ungekaa kimya, au unaamini kuwa malengo yake yalikuwa ni kusumbuana na watu mtaani? Kipi alichokosea mtoa mada sasa.
 
wewe ni mdogo wake yupi katika wale alio nao? au ni mtoto wake yupi katika wale wezi na vibaka? au ni msamalia mwema ambaye umeshiriki kumpoteza ndugu yetu kwa sasa anapigana ndondi za ndondo? mitanzania mingi ni mijinga na mbwana samatta angekuwa na akili kama hizi mngakuwa mnashinda tu kumsoma kwenye magazeti kuwa sasa anatembea na wolper au wema. mnashinda naye vijiweni tu kuvuta bhangi mwenzenu alishagundua maisha yako huko kwa wazungu....hao hao tunaowana ni wabaya.
Almanusra nikugongee 'like'
 
Da matumla huruma anapanda daladala tu now ninachomkubali huyu mtu hana majivuno ukitaka akufundishe ngumi safi tu anakufundisha washkaji zangu kibao kawafundisha na wengine wametoka kimaisha.
Kina nani hao waliotoka kimaisha kupitia ngumi walizofundishwa na matumla.
Au wapo kibiti mkuu?
 
Back
Top Bottom