DissDotCom
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 395
- 271
litatumbuliwaje sasaYaani huyo jamaaa ni bonge la jipu mazee. Ana shule yake hapa Morogoro ni ukilaza mtupu na ujinga ujinga.
ahaaaa ahaaa umetisha mkuu ni kweli hyoUnaendaje kujifunza taaluma au lugha kwa Mwalimu anayejiita Ras Simba. Ingekuwa kupiga gitaa au kinanda sawa.
kweli nakubali mjini mipango maana jamaa ana matangazo kila konaMjini mipango....
Kumbe keshahamia Mikoani? Basi huko atawapata wengiYaani huyo jamaaa ni bonge la jipu mazee. Ana shule yake hapa Morogoro ni ukilaza mtupu na ujinga ujinga.
ahaaa haaaa una mteteaacheni uzushi huyu jamaa yupo vizuri kuna mfanyakazi wa ndani tuli mpeleka kwake ambrush ajue cha kuombea maji na alikuwa std 7 tu now ana mwaga lugha kama kasoma havard university anapokea zake £ kwa Elizabeth
litumbuliweJipu