Hii habari ndiyo kwanza nimeiona. Binafsi ni mmoja wa mashabiki wake .
Hii habari imeni_pain mno. Hapo kabla alisha_survive matukio mawili ya kupigwa risasi. Hili tukio limetokea jumatano mchana huko Memphis. Alikuwa mtu anayejitolea sana kwa jamii yake huko Memphis. Mwenyezi Amrehemu
Inaelekea Wasanii wanaojitolea (African Americans) kwa jamii zao jambo hilo huwa kama vile hailiwapendezi baadhi ya watu/makundi, hivyo kupelekea kuwindwa ama kuuwawa. NIPSIE HUSSLE nae aliuwawa kwa mazingira kama haya.
Mara nyingi ndivyo hufanya hawa wahalifu. Hawatumii gari zao. Inaumiza sana. Sijui mchizi aliwakosea nini!? Maana ni wazi walikuwa wamedhamiria kumuua.
Namkubali jamaa ni bonge la story teller hata hapa tz msanii mwenye flow kama zake namuona ni dizasta
Ukisikiliza im not racist ya joyner afu ukisikiliza na mascular feminist ya dizasta utaona ni style moja ya msanii ku delivery content kwa ku switch side
Mara nyingi ndivyo hufanya hawa wahalifu. Hawatumii gari zao. Inaumiza sana. Sijui mchizi aliwakosea nini!? Maana ni wazi walikuwa wamedhamiria kumuua.