Rapper Wa Yondo Sister

JAYJAY

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2008
Posts
8,902
Reaction score
9,338
Miaka ya 90's Yondo Sister alitoa albamu yake iliyofanya vizuri sana hapa nchini.

Ila napenda kujua yule rapper aliyekuwa anakamua baada ya Yondo kumaliza kuimba anaitwa nani.

Mfano kwenye wimbo 'Wapi Yo' anasikika aki-rap..." Yaya wapi yo yaye ...sala sale ...salamu sala....
 

Aliitwa Shimita El Diego
 
Aliitwa Shimita El Diego
Ahsante kwa taarifa. Nilikuwa najiuliza sana swali hili.

Je, na yule anayerap kwenye nyimbo za Pierrette Adams "ngadempa" na "journal intime" ni nani? Maana naona kama sauti yake inaendana na huyo Shimita.

Pia kwenye wimbo "Billi" Wa Kanda BongoMan sauti inayoendana na hiyo inasikika.
 
Hivi nyimbo ya Mbuta Muv ilitoka mwaka gani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…