PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 354
- 395
Kada wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) na mdau Mkubwa wa Michezo na Maendeleo Wilayani Ileje Mkoa wa Songwe Ndg Raphael Kayuni amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Ileje mkoani Songwe kupitia Chama hicho
Kayuni amechukua fomu hiyo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Ileje June 28 2025 na kukabidhiwa na Katibu wa chama hicho wilaya ya Ileje Hassan Lyamba.
Si mara ya kwanza kwa Raphael Kayuni kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Ileje kwani mwaka 2020 alikuwa miongoni mwa waliochuana na mbunge wa sasa Godfrey Kasekenya Msongwe.
Si mara ya kwanza kwa Raphael Kayuni kuchukua fomu ya kuwania ubunge Jimbo la Ileje kwani mwaka 2020 alikuwa miongoni mwa waliochuana na mbunge wa sasa Godfrey Kasekenya Msongwe.