Rangi zinazofanana na wallpapers (5years guarantee)

mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2013
Posts
2,170
Reaction score
3,107
Tunapaka rangi kwa kutumia stencils, huu ni utaalamu wa kupaka rangi kwa kutumia patterns zenye maumbo yanayofanana na wallpapers.

Kwa kutumia stencils utakuwa umeokoa zaidi ya 40% ya pesa ukilinganisha na matumizi ya wallpapers.
Pia hudumu zaidi tunatoa guarantee kuanzia miaka mitano na zaidi

Baadhi ya kazi zetu tulizotumia stencils.




Hii ni project ya mbezi beach.



Kwa gharama nafuu ya tsh 9,000/= kwa square metre moja (atleast kwa project ya kuanzia 50sqm)

Au tsh 150,000/= kwa upande mmoja wa ukuta, (bei inajumuisha gharama ya service charges pamoja na materials)

Tunapatikana kwa 0713553387.
Karibuni.
 
My dream job kaz nzuri hongera sn
 

Gharama za mikoani zikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…