Rangi za Chama cha Mapinduzi na Maana zake

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,874
Wapendwa watanzania napenda kuwaletea maana za rangi za chama pendwa CCM kisaikolojia, kiimani na kwenye mambo ya kiroho.

Kabla ya yote unapochagua rangi unatakiwa ujua ina madhara gani kisaikolojia. Vyama vingi vimejikuta vinachukua chukua rangi tu pasipo kujua maana halisi za rangi hizo katika ulimwengu wa roho na hali ya kisaikolojia.

Hapa chini kunamaelezo ya wataaramu wa rangi. Yapo kwa kingereza:
The Color Green
This is the color of balance and harmony. From a color psychology perspective, it is the great balancer of the heart and the emotions, creating equilibrium between the head and the heart.

From a meaning of colors perspective, green is also the color of growth, the color of spring, of renewal and rebirth. It renews and restores depleted energy. It is the sanctuary away from the stresses of modern living, restoring us back to a sense of well being. This is why there is so much of this relaxing color on the earth, and why we need to keep it that way.

Green is an emotionally positive color, giving us the ability to love and nurture ourselves and others unconditionally. A natural peacemaker, it must avoid the tendency to become a martyr.

It loves to observe, and therefore relates to the counselor, the good listener, the social worker. It loves to contribute to society. It is the charity worker, the good parent and the helpful neighbor.

The Color Yellow

This color relates to acquired knowledge. It is the color which resonates with the left or logic side of the brain stimulating our mental faculties and creating mental agility and perception.

Being the lightest hue of the spectrum, the color psychology of yellow is uplifting and illuminating, offering hope, happiness, cheerfulness and fun.

In the meaning of colors, yellow inspires original thought and inquisitiveness.

Yellow is creative from a mental aspect, the color of new ideas, helping us to find new ways of doing things. It is the practical thinker, not the dreamer.

Being a combination of yellow and blue, green encompasses the mental clarity and optimism of yellow with the emotional calm and insight of blue, inspiring hope and a generosity of spirit not available from other colors.

This is a color that has a strong sense of right or wrong, inviting good judgment. It sees both sides of the equation, weighs them up, and then usually takes the moral stand in making appropriate decisions. On the negative side, it can be judgmental and over-cautious.


Ukivaa nguo zenye rangi ya chama cha mapinduzi hakika utapata hayo hapo juu. Jizoeshe kuvaa nguo za rangi ya kijani au njano inasaidia sana.
 
Rangi zina umuhimu sana katika maisha. Jifunze kujitibu mwenyewe.
 
Hebu zitazame rangi hizi
CCM.jpg
CCM1.jpg
 
Ukweli usemwe, wanawake wanapendeza sana na rangi za njano na kijani. Hata wanawake wa wabrazil wakitupiaga njano huwa ni shida.
 
Yaani rangi nzuri kwa mandhari yoyote ni kijani....ndio maana yanga hili waligundua mapema....ukiona yanga wamefanikiwa na CCM pia kuna.mafanikio
 
Lakini kusema ukweli rangi ya kijani ina maana sana, huwa inasaidia pia ubongo ku-relax macho yanapoangalia rangi ya kijani. Ndo maana watu hupenda kutumia rangi hii kama ishara ya amani. Lakini swala la wanachama kuivaa kwenye shughuli za kiserikali hapo kuna ka ushamba fulani. Vinginevyo rangi ya kijani ni chakula cha ubongo, lakini rangi nyekundu ( wekundu wa msimbazi ) ptuuuuu
 
Wapendwa watanzania napenda kuwaletea maana za rangi za chama pendwa CCM kisaikolojia, kiimani na kwenye mambo ya kiroho.

Kabla ya yote unapochagua rangi unatakiwa ujua ina madhara gani kisaikolojia. Vyama vingi vimejikuta vinachukua chukua rangi tu pasipo kujua maana halisi za rangi hizo katika ulimwengu wa roho na hali ya kisaikolojia.

Hapa chini kunamaelezo ya wataaramu wa rangi. Yapo kwa kingereza:
The Color Green
This is the color of balance and harmony. From a color psychology perspective, it is the great balancer of the heart and the emotions, creating equilibrium between the head and the heart.

From a meaning of colors perspective, green is also the color of growth, the color of spring, of renewal and rebirth. It renews and restores depleted energy. It is the sanctuary away from the stresses of modern living, restoring us back to a sense of well being. This is why there is so much of this relaxing color on the earth, and why we need to keep it that way.

Green is an emotionally positive color, giving us the ability to love and nurture ourselves and others unconditionally. A natural peacemaker, it must avoid the tendency to become a martyr.

It loves to observe, and therefore relates to the counselor, the good listener, the social worker. It loves to contribute to society. It is the charity worker, the good parent and the helpful neighbor.

The Color Yellow

This color relates to acquired knowledge. It is the color which resonates with the left or logic side of the brain stimulating our mental faculties and creating mental agility and perception.

Being the lightest hue of the spectrum, the color psychology of yellow is uplifting and illuminating, offering hope, happiness, cheerfulness and fun.

In the meaning of colors, yellow inspires original thought and inquisitiveness.

Yellow is creative from a mental aspect, the color of new ideas, helping us to find new ways of doing things. It is the practical thinker, not the dreamer.

Being a combination of yellow and blue, green encompasses the mental clarity and optimism of yellow with the emotional calm and insight of blue, inspiring hope and a generosity of spirit not available from other colors.

This is a color that has a strong sense of right or wrong, inviting good judgment. It sees both sides of the equation, weighs them up, and then usually takes the moral stand in making appropriate decisions. On the negative side, it can be judgmental and over-cautious.


Ukivaa nguo zenye rangi ya chama cha mapinduzi hakika utapata hayo hapo juu. Jizoeshe kuvaa nguo za rangi ya kijani au njano inasaidia sana.
Kujipa moyo ni jambo jema.
 
GREEN COLOUR : While yellow-green stimulates generous feelings, spring green heralds new life. Preference for the colour green shows that you are a dutiful citizen. You are not only aware but also sensitive to social customs, and bear a good name in your community. Your choice also indicates your honesty and straightforwardness. You have a normal sex drive and are very emotionally attached to your family. You have the potential to be an excellent teacher.
 
Got you!

From your writtings; So, CCM can be defined as;

"A political party which has wide KNOWLEDGE of stealing resources from a poor country such as Tanzania, while her people are at PEACE & HARMONY."
 
Rangi za bendera za Chadema zinanitisha.Haswa ile nyekundu naomba ufafanuzi kwanini?
 
Rangi hapa ni ya ACT Wazalendo (zambarau). Nadhan hapo kwenye uchaguzi wa rangi Mama Anna Mgwila alihusika...
 
Imekaa vizuri sana jomba,
Chama chitendeke


="Annael, post: 15912763, member: 55521"]Wapendwa watanzania napenda kuwaletea maana za rangi za chama pendwa CCM kisaikolojia, kiimani na kwenye mambo ya kiroho.

Kabla ya yote unapochagua rangi unatakiwa ujua ina madhara gani kisaikolojia. Vyama vingi vimejikuta vinachukua chukua rangi tu pasipo kujua maana halisi za rangi hizo katika ulimwengu wa roho na hali ya kisaikolojia.

Hapa chini kunamaelezo ya wataaramu wa rangi. Yapo kwa kingereza:
The Color Green
This is the color of balance and harmony. From a color psychology perspective, it is the great balancer of the heart and the emotions, creating equilibrium between the head and the heart.

From a meaning of colors perspective, green is also the color of growth, the color of spring, of renewal and rebirth. It renews and restores depleted energy. It is the sanctuary away from the stresses of modern living, restoring us back to a sense of well being. This is why there is so much of this relaxing color on the earth, and why we need to keep it that way.

Green is an emotionally positive color, giving us the ability to love and nurture ourselves and others unconditionally. A natural peacemaker, it must avoid the tendency to become a martyr.

It loves to observe, and therefore relates to the counselor, the good listener, the social worker. It loves to contribute to society. It is the charity worker, the good parent and the helpful neighbor.

The Color Yellow

This color relates to acquired knowledge. It is the color which resonates with the left or logic side of the brain stimulating our mental faculties and creating mental agility and perception.

Being the lightest hue of the spectrum, the color psychology of yellow is uplifting and illuminating, offering hope, happiness, cheerfulness and fun.

In the meaning of colors, yellow inspires original thought and inquisitiveness.

Yellow is creative from a mental aspect, the color of new ideas, helping us to find new ways of doing things. It is the practical thinker, not the dreamer.

Being a combination of yellow and blue, green encompasses the mental clarity and optimism of yellow with the emotional calm and insight of blue, inspiring hope and a generosity of spirit not available from other colors.

This is a color that has a strong sense of right or wrong, inviting good judgment. It sees both sides of the equation, weighs them up, and then usually takes the moral stand in making appropriate decisions. On the negative side, it can be judgmental and over-cautious.


Ukivaa nguo zenye rangi ya chama cha mapinduzi hakika utapata hayo hapo juu. Jizoeshe kuvaa nguo za rangi ya kijani au njano inasaidia sana.[/QUOTE]
Imekaa
 
Ukitaka mada yako ilete maana zaid weka maana ya rangi zote then from there tutajua nini cha kuchangia. Mfano Rangi nyeusi unauhusiano na mashetani kwa mujibu ya hao wataalamu wako wa rangi na rangi hiyo nyeusi ndio rangi yako ya mwili na ipo kwenye bendera yetu ya nchi.
 
Lakini kusema ukweli rangi ya kijani ina maana sana, huwa inasaidia pia ubongo ku-relax macho yanapoangalia rangi ya kijani. Ndo maana watu hupenda kutumia rangi hii kama ishara ya amani. Lakini swala la wanachama kuivaa kwenye shughuli za kiserikali hapo kuna ka ushamba fulani. Vinginevyo rangi ya kijani ni chakula cha ubongo, lakini rangi nyekundu ( wekundu wa msimbazi ) ptuuuuu
'.....shughuli za kiserikali...' Si ni serikali ya ccm? Ushamba uko wapi? Mbona kwenye mabaya mnataja SERIKALI YA CCM? Na mlivyokuwa mkituzomea mlijiona wajanja? Tuacheni, ndo raha yetu hiyo? Pisha njia.
 
Back
Top Bottom