Ngatelefijo
Member
- Jan 7, 2014
- 20
- 3
Jamani wadau niliweka post ya kuomba kujulishwa rangi ya mwaka 2014 lkn nilichoambulia ni matusi na utani mwingi, LAKINI WADAU NIPO SERIOUS NAOMBA KUJUZWA KWA YEYOTE ANAYEJUA RANGI YA MWAKA 2014 SERIOUS!! naomba msaada
Purple
2013 ilikua rangi gani? Naomba ajibu Ngatelefijo
Ni hiyo hapo mwaya.... ni km purple ila wenyewe wanaiita radiant orchid
Black colour
Purple-pink