Rangi ya bendera kama sare ya kitchen party

Rangi nyekundu kwa CDM mbona yaeleweka yamaanisha upendo? Hao wanaosema rangi nyekundu inamaanisha
kumwaga damu wamekariri, msipende kuwatisha Watz. Hii nchi ni yetu sote whether you're ccm,chadema,nccr,cuf
or act.
 
achane kudanganya fizikia inasema primary colours ni blue , green na red!
 
kwa mfano zambarau inwakilisha utu uzalendo na nini sijui unaotajwa kivipi hasa.Sijui kama kulikuwa na maandalizi kuanzisha hii chama

Siyo kweli zambarau inawakilisha uchungu, mateso au huzuni.Pole
 
achane kudanganya fizikia inasema primary colours ni blue , green na red!

green unaweza kuchanganya yellow na blue kea hiya so primary color. kasome vizuri .

jspo ktk context hii primary Au sio primary si hoja sana. purple???? why watusaidie.
 
bendera yenye rangi nyekundu ni alama chama kitamwaga damu ili kitawale sasa hapa tanzania hakuna hiyo hadithi

Mbona dada ako anamwaga damu kila mwezi na hatushangai?subiria wewe damu imwagwe
 
kavulata umetupotosha kuhusu primary colors!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…