Mkuu Mbona Kama unaogopa? Unahusika nini?Jamani kwa jambo hili tuwe makini kidogo. Hawa watu wengine wanakuwaga wameuza wenyewe kihalali kabisa huko kwao, kwa vile utaratibu wao wa insurance na kununua ni wa kulipa huku unatumia, hivyo anauza halafu gari ikiondoka ikifika nje ya nchi anatangaza imeibiwa hivyokuwaachia deni bima za kwao huku ashachukua hela. Mifano ipo na mengi ya case hizi ni toka Afrika Kusini. Kwahiyo, Hata huyu aeleze mazingira vizuri zaidi kabla watu wasiokuwa na hatia hawajadakwa bila sababu.
Siogopi ila napenda haki itendeke kwa anayeendesha gari hilo asije kuangukia kwa wakurupukaji pasipo kujiridhisha ya kutosha. Watu wanadhurumiwa sana kwa njia kama hii na wanaingia kwenye matatizo makubwa ilihali walinunua kihalali.Mkuu Mbona Kama unaogopa? Unahusika nini?
Gari kashalipwa na Bima ndio maana anahitaji kofia ambayo imepotea..Kama nawaona wanavyohaha kuipata hiyo tracker, jamaa anajua mwenyewe alikoificha.
Hiyo kofia yake kama bado wanayo waiweke wampe, anaipenda sana. Amesisitiza kofia mara nyingi kuliko gari.
SA huyo yeye anaenda ndani kwanza maana hakuna tracker inayozima baada ya muda ndio ianze kufanya kazi wazungu bhana wanatuona wote viazi..gari hata ulitupe baharini muda huo huo litasoma yeye tracker yake gari mpaka linafika Tanzania ndio anasema aisee..Jamani kwa jambo hili tuwe makini kidogo. Hawa watu wengine wanakuwaga wameuza wenyewe kihalali kabisa huko kwao, kwa vile utaratibu wao wa insurance na kununua ni wa kulipa huku unatumia, hivyo anauza halafu gari ikiondoka ikifika nje ya nchi anatangaza imeibiwa hivyokuwaachia deni bima za kwao huku ashachukua hela. Mifano ipo na mengi ya case hizi ni toka Afrika Kusini. Kwahiyo, Hata huyu aeleze mazingira vizuri zaidi kabla watu wasiokuwa na hatia hawajadakwa bila sababu.