Atalichoma moto aiharibu na hiyo tracker yenyewe🤣🤣🤣Saitakuaje...🤔
Kila mmoja ni mwizi hatujakamatwa tu,utakuta huyu ana range ya wizi yule ana simu ya wizi mwengine ana TV ya wizi mwingine kaiba mume au mke wa mtu alimradi kila mmoja ana udhaifu wake."KAJALA1 and 2 tena zote ni Range". sema reeeeeeeeeeeeeenjiiiii, watu wabaya sana, wanatamba na ma range ya wizi mtaani. Ninauhakika interpol wakiwa wanazitafuta hizi zote zinafichwa