Keyser Söze
JF-Expert Member
- Mar 12, 2013
- 479
- 716
Competes with: Land Rover Range Rover, Maserati Levante, Cadillac Escalade
Atakuwa hali mchicha huyo, anafananisha range na subaru labdaHii mashine si mchezo halaf nimependa kuna engine tofauti sio lazima uchukue engine kuubwa.
Kuna boya anakwambia eti bongo zimejaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Yani Bora arudi kuliko haya mikoloni mieusi imeshindwa kudeliver hata maji. Maji ya kinywa tu anasa.
Lazima ATUBU kwanza kabla hawarudi
ngeseKisa siasa. Mnaharisha tu maneno bila hata kutafakari. Njooo tu Ulaya Uwe shoga. Mana kama umeshindwa kulima hata nyanya sasa kusubiri Mzungu Au Mbowe akwambie. Then Njoo Uwe shoga. Wanaume kumi kwa Siku Euro 50-100 nusu saa .utapata 1000 to 2000. si Ndo maisha mliyotayari kuyaishi kisa siasa za kuchafuana. Watu kama nyinyi ndo mko maofisini mnasabotage miradi ya Maendeleo kisa Siasa. Mnatumikia wakina Mbowe mnaabudu wakina Lissu. Ukiulizwa nini wamefanya Huna jibu zaidi ya kuwa wambeya na wasaliti kwa maslahi ya Nchi. Niambie Mzungu gani alikuja hapa radioni kuponda Nchi yake. Mkituliza Tigo zenu kama hamvuti mabangi mtajua Nchi na uzalendo ni Muhimu sana kuliko siasa. Nyie ndo wale wanaume kwenye shida ndogo atatuma watoto wake wa shule ya msingi wakauze walete Hela. PUMBAVU sana. Sina neno La ziada.
Aisee gharama kubwa mnohi bado ghali nimeona Ni pauni za Bibi 268,000. Ila haijatofautiana Sana Na renji 2017 ambayo Hadi 86,000 pauni za Bibi.
Nadhani kwa madafu iyo Hadi Kodi lazima ifike karibu billion.
Gharama za hio range unafungua miradi mingi ya kuingiza pesaWengine hata Passo tunaziona kwa ma jirani!
wacha nipite kimya kimya
Shithole mentality!Range Rover sio Matoyota V8 weka hilo akilini!..
Kama ni mtu ambaye anajua magari atagundua huwa kuna tofauti katika baadhi ya features. Hata kiumbo (body) zinatofauti kila mwaka. Kutambua hizo tofauti inabidi uwe mpenzi/ mtaalam wa magari. Otherwise inakuwa ngumu sana kama kumtambua mwanamke aliye bikra kwenye ngoma za vigodoro.Tatizo la hawa range rover yaan hata ya mwaka 2015 na hii tofauti ni ndogo sana so hata mtu akiiona kwa nje hawezi jua ipi ni ipi
sizitaki mbichi. Kwenda Ulaya , Marekani ni Utumwani, sisi ni wazalenda tunakaa kwetu kmanzichana.Utabakia hivyo hivyo kijana! Hatari yake iko wapi? Hiyo migari mbona imejaa barabarani Bongo mpaka inatia degedege! Hizi ndio athari za kukaa utumwani.
huna akili!!...kusifia gari tumekuwa watumwa sio!?..ficha upumbavu wako!..Shithole mentality!
Mimi namiliki hiyo gari tena ni ya CMC kiongozi. Ndio maana naongea kwa kujiamini katika hili. Wewe utakuwa ndio haujui magari umekalia kukaa vijiweni na ikipita gari nzuri mnashindana wa maj.uha wenzako kuiwahi.We hujui gari ndio maana unaropoka, range zipo nyingi ila sio hilo toleo la 2018. Taa zake na rim ni tofauti na matoleo ya nyuma pia infotainment system yake ni full touchscreen.
Ukumbuke kuwa muundo wa hizo range rover hutofautiana kwa miaka.Mwaka 2013 ndio design mpya ya body ilitoka so range zilizofuata zote zilikuwa na muonekano mpya. Unaweza kuta unaongelea wingi kupitia matoleo ya 2013-2015 maana nyingi ndio zipo affordable hapo.
Shithole slave mentality ..huna akili!!...kusifia gari tumekuwa watumwa sio!?..ficha upumbavu wako!..
Tanzania kuna watu wabishi mkuu...we acha tu. Nenda mitaa ya Sea Cliff on a Sunday afternoon and evening ndio utajua Bongo kuna vichwa ngumu. Yaani utafikiri watu wana visima vya grisi majumbani.2018 mkuu???
Wewe ndio walewale. Gari ikiwa ya 2018 unajua huwa zinatoka kiwandani na kuingia sokoni mwezi gani na mwaka gani!? Naomba jibu....nenda kafanye research urudi na jibu sahihi hapa. Otherwise kaa kimya kuficha aibu ya ukoo wenu.Sio kweli.
Gari imetoka mwaka huu.
Range rover ni habari nyingine.
IPO SIKU NITAKUJA KUENDESHA.