Dawa ni kununua ya 2016 na kufunga body kit ya 2018 ukicheki Ali Express waweza pata kwisha kazi, hata ukinunua kit ya taa, bumpers na rims kwa 10M sio mbaya japo inaweza isifike hapo. Unakuwa umeji update kufikia 2018 bila gharama kubwa. Hiki ndicho anakifanya yule jamaa wa TTTR auto upgrades na kuwapigia rangi upya gari zima vyote kwa gharama isiopungua USD 10,000 na layman wengi wanampigia makofi mengi mno kama kuna miujiza sana inayofanyika.