Kwanza nadhani ni land rover discovery and not Range rover discovery.
Range Rover Discovery 5 edition 2017
Hili gari la sasa limetengenezwa kwa bati la aluminium kwa asilimia 85 na ndani lina nafasi ya kutosha, huku likiwa na uzito wa tani 2.1
Kwenye pua yake kuna magnesium na kila sehemu ambayo ni kwa usalama wa abiria basi bati la aluminium limetumika kwa kiasi kikubwa.
Injini.
Ni Cylinder nne kwa injini ya Diesel huku BHP au brake hose power ikiwa ni twin -turbo 237 ingawa unaweza kupata ya V6 kwa Diesel na Petrol.
Gearbox ni 8 speed automatic.
Ndani
Unaweza ukasikia kwa mbali sauti ya muziki hasa mashine ikiwa inachanja mbuga kwenye kasi crusing speed na kelele za madirisha ni kidogo sana.
Viti ni saba vikiwa na mfumo uitwao Intelligent Seat Fold ambapo kwa kubonyeza kioo cha mbele ambapo unaweza kuvifanya vilale au viinuke.
Hili nalo ni gari ya maana.
View attachment 691352
Kama huyu hapa eeh, sasa ole wako useme vyuma vimekaza
Hajui bongo ipo ya kumwagaUtabakia hivyo hivyo kijana! Hatari yake iko wapi? Hiyo migari mbona imejaa barabarani Bongo mpaka inatia degedege! Hizi ndio athari za kukaa utumwani.
Dah asante man ila nshachelewa hapo.watu wengi watakua washaona.Mkuu, miiko inakataza kuonyesha personal details.
Jaribu kuficha namba.
Tofauti ya mtumwa wa sasa na wa zamani ni ndogo sana, kitambo ulifungwa minyororo na kutandikwa mijaredi, ila sahivi umefungwa akili na kusaidiwa kila kitu.Utabakia hivyo hivyo kijana! Hatari yake iko wapi? Hiyo migari mbona imejaa barabarani Bongo mpaka inatia degedege! Hizi ndio athari za kukaa utumwani.
Hiyo technology pia nimeiona kwenye Range rover Velar,hawa jamaa wako vizuri sana,ila nisichokipenda ni kitu kimoja tu,hazina 6 seats karibu zote,kama yalivyo matoleo ya Landrover discovery ambayo yana zile seats za nyuma baada ya milango ya nyuma..We hujui gari ndio maana unaropoka, range zipo nyingi ila sio hilo toleo la 2018. Taa zake na rim ni tofauti na matoleo ya nyuma pia infotainment system yake ni full touchscreen.
Ukumbuke kuwa muundo wa hizo range rover hutofautiana kwa miaka.Mwaka 2013 ndio design mpya ya body ilitoka so range zilizofuata zote zilikuwa na muonekano mpya. Unaweza kuta unaongelea wingi kupitia matoleo ya 2013-2015 maana nyingi ndio zipo affordable hapo.
Yeah zote ni 5 seaterHiyo technology pia nimeiona kwenye Range rover Velar,hawa jamaa wako vizuri sana,ila nisichokipenda ni kitu kimoja tu,hazina 6 seats karibu zote,kama yalivyo matoleo ya Landrover discovery ambayo yana zile seats za nyuma baada ya milango ya nyuma..
Sasa kama wanakutesa mbona huachi kaziUkisikia ujinga ndio huu.
We humjui mzungu hata kidogo.
Hata Trump hujamsikia?
Sisi tunaofanya nao kazi ndio tunaojua kisirani chao.
HERI KUTAWALIWA NA HUYO MWINGEREZA KULIKO ........!!!!!Kwa ulivomsifia mwingereza Upo tayari arudi kukutawala
Haaa haaa haa..eti urudi kwenu[emoji23] [emoji23]Ulirudi au muda wa kukaa huko ulikwisha. mimi nilikwenda , nilitaka kukaa wakasema urudi kwenu muda wa masomo umeisha. Kuna permanent students anyway!
Verossa kopo la castle light...ndio hivo mkuu hata ukiangalia huku kwetu hata ukiwa na verossa ni gari wakati huko marekani ilivotiwa the ugliest lookin car 2001....
Ngoja alione Young Milionea Muzamil au Ndama mtoto ya Ng'ombe na Papa Msofe(sijui bado yupo lupango?)Mzuqa Wanajamvi,View attachment 689827
Muingereza mshenzi sana. Hii renji Vogue 2018 ni nouma. Yani nje Na ndani Ni sheeda. View attachment 689828 Desh board Ni touch screen. Yani Muingereza Maamae kwa hili gari namuheshimu Sana. Cheq Hapo chini video Na picha.View attachment 689829 View attachment 689830 View attachment 689831 View attachment 689832
hahaha imekaa kama ngiri kwa mbeleVerossa kopo la castle light...
trueAmefeli kwenye body,
Mbona wote waliisharudi siku nyingi, hujawaona!Kwa ulivomsifia mwingereza Upo tayari arudi kukutawala