Muingereza mshenzi sana. Hii renji Vogue 2018 ni nouma. Yani nje Na ndani Ni sheeda. Desh board Ni touch screen. Yani Muingereza Maamae kwa hili gari namuheshimu Sana. Cheq Hapo chini video Na picha.
Utabakia hivyo hivyo kijana! Hatari yake iko wapi? Hiyo migari mbona imejaa barabarani Bongo mpaka inatia degedege! Hizi ndio athari za kukaa utumwani.
Utabakia hivyo hivyo kijana! Hatari yake iko wapi? Hiyo migari mbona imejaa barabarani Bongo mpaka inatia degedege! Hizi ndio athari za kukaa utumwani.
Dah... huwa nikiona hizi gari za waulaya nakua mdogo kama Piritoni. Ndiyo maana watu wananunuliwa na kununulika kirahisi sababu ya ndoto ya kuja kumiliki vitu kama hivi.
Utabakia hivyo hivyo kijana! Hatari yake iko wapi? Hiyo migari mbona imejaa barabarani Bongo mpaka inatia degedege! Hizi ndio athari za kukaa utumwani.
Mkuu hizo body ndio brandmark yao sasa ukisema abadili kibiashara itakua bad kwake mfano tu unajua kua Toyota aliona hauzi sana gari zake kutokana na mtizamo wa Europe na America ikabidi aingie mzigoni buni brand ingine ndio akaja na Lexus ambayo ndio inayouza vile gari expensive na luxurious all kutafuta soko!!..
We hujui gari ndio maana unaropoka, range zipo nyingi ila sio hilo toleo la 2018. Taa zake na rim ni tofauti na matoleo ya nyuma pia infotainment system yake ni full touchscreen.
Ukumbuke kuwa muundo wa hizo range rover hutofautiana kwa miaka.Mwaka 2013 ndio design mpya ya body ilitoka so range zilizofuata zote zilikuwa na muonekano mpya. Unaweza kuta unaongelea wingi kupitia matoleo ya 2013-2015 maana nyingi ndio zipo affordable hapo.