Habari zenu wadau ,poleni na majukumu ya kila siku.nataka kununua range rover sport 2.7 tdv6 2006 model,ila nimesikia watu baadhi wakisema yana matatizo,ingawa sijapata maelezo kwa undani.Sasa shida kubwa niliyokua nayo ni kupata ushauri kutoka kwa watu wanaomiliki range rover au wenye uzoefu na haya magari ili nifanye uchaguzi sahihi...natanguliza shukrani
Nakubaliana nawe angeanzia CMC hata kama anataka kununua used wataalam watampa hints!!!Kaka nimeona wito wako apa...nadhaninkwa aina hii ya gari ni bora apate ushauri kutoka CMC wenyewe...I mean kama ananunua mpya kutoka kwao maana nadhani wengine wenye nayo watampa uzoefu wa yaliyotumika tayari...labda atuambie ananunua mpya au used?
Nakubaliana nawe angeanzia CMC hata kama anataka kununua used wataalam watampa hints!!!
Wakuu nanunua used kutoka UK
Kabisa mkuu.maana hizi hazichokonolewi hivi hivi mitaani unaweza kulipaki mazima
Anzia CMC mkuu then utapita kwa mafundi wa uswazi na kama utapata wamiliki watakuambia experience pia!!!!!!
Humu haliharibiki neno jipe muda
mkuu si ununue tu vitz?kujihangaisha na magari makubwa kisa nini?
ukigonga taa utasikia bei 2m
au unamililiki kisima cha gas mtwara?
mkuu si ununue tu vitz?kujihangaisha na magari makubwa kisa nini?
ukigonga taa utasikia bei 2m
au unamililiki kisima cha gas mtwara?