dagii magari yapo bei chee kuriko unavyodhania kodi ya hilo ni 13million mpaka 16million...Ranger wamepanda bei kwa sababu ya hizi model zao za karibuni na ukumbuke kuwa huku magari yanauzwa bei kubwa kutokana na mwaka sasa hilo la 2008 au 2009 la zamani,, mercedes benz kompressor ya 2013 nimeipata kwa 17m, Nissan pathifinder diesel auto 16m ya 2012, Discovery 3 hizo zina range 15m mpaka 20million, X5 na X6 BMW uanaikuta rand. kuanzia rand 250,000 kuendelea, rand rover Puma 2014 rand 200,000, randcruiser mkonge 2014 rand 200,000 kuendelea iwe pick up gari zinazokua bei ni zile hata hapa ni fashion sana kama Vw golf 7 polo, mercedes 200 Bmg series...