Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range ๐ค๐ค๐ค my dream car
Kuota vikubwa ni maono,sema unaota vikubwa ktk mambo ya kipuuzi,inatakiwa hata uwaze siku ukibahatika kuzishika hela zako,utajinyakulia range yako ya kutukuka,sio kuhongwa kisa umetimiza miaka kadhaa.