Ramani ya nyumba

Ramani ya nyumba

chishango

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2009
Posts
854
Reaction score
362
Wakuu poleni na pilika
Nahitaji ramani ya nyumba ya vyumba 4 vya kulala singo storey building
kwa yeyote anayefahamu ninapoweza kuipata na gharama zake please ani PM
mbarikiwe sana
 
hiyo ni kazi ya huyu jamaa mcheki kwa hi namba 0713987471. yuko ardhi atakucholea kwa gharama nafuu.:hail:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom