jamani wana JF. Kuna jamaa kaomba nimsaidie kupata ramani ya nyumba. hivi wape naweza kwenda kununua (kwa kuchagua) ramani ya nyumba complete ambayo imefanyiwa tathmini ya ujenzi hadi mwisho.
Hi
cha kufanya tafuta architect na umpe requirements kama ulivyoshauriwa hapo juu, then utaandaliwa proposal kulingana na requirements zako. kwa taarifa zaidi piga No. +255 713 237487.
Safi sana wataalamu mliotoa namba za simu. Kwa faida ya wana JF wote, je gharama za kuchora huwa mnacharge vipi?namaanisha how do you arrive to the total architectural costs.
Shukraan.
kwa kawaida unatakiwa useme unahitaji nyumba iwe na nini na nini,unataka jengea eneo gani?(nina amanisha eneo limepimwa au halijapimwa) tatu unaweza ukasema sema(au usiseme) wewe nyumba unataka iweya kiasi gani?mtaalamu anaweza andaa michoro kutokana na maelezo yako akichanganya na utaalamu wake kukushauli kwa linalowezekana na lisilowezekana.Gharama za uchoraji zinawezakuwa 1.6% ghrama ya ujenzi(bei ya serikali) 2.kuelewana (kimjuano) ziponjia zingine za kucharge lakini kwa kazi za binafsi inakuwa ni ngumu.
kuna mshikaji wangu alimpelekea injinia mmoja bongo ramani kutoka global website jamaa akaanza kumwambia aiwezekani basi jamaa akamwambia ok nichoree yeye akuchora akaja na ramani ameiona south africa....
jamaa akamwambia tofauti yake na yeye ni nini???? ukawa mtafaruku mkubwa tu jamaa kuanza kumwambia anamdharau
kuna mshikaji wangu alimpelekea injinia mmoja bongo ramani kutoka global website jamaa akaanza kumwambia aiwezekani basi jamaa akamwambia ok nichoree yeye akuchora akaja na ramani ameiona south africa....
jamaa akamwambia tofauti yake na yeye ni nini???? ukawa mtafaruku mkubwa tu jamaa kuanza kumwambia anamdharau
Mkuu Semilong,kutoka web site hii mimi nimeona plani nzuri sana na tofauti, za nyumba kutoka sehemu mbali mbali duniani.
Mtu akikwambia plani fulani haifai(ile unayoipenda) basi ana matatizo ya upeo wa uelewa wake.
Kutoka kwenye site hii mimi nisha jenga nyumba tatu na ambazo zinapendeza sana.
House Plans come in many different shapes and styles (Click Here for a complete list of House Plan Styles on The Plan Collection). You see everything from sprawling Mediterranean villas and European estates to cozy bungalows and Tudor-style cottages. With such a wide selection, people can often get a bit overwhelmed when it comes to choosing a style for their new home. No matter what style you choose, there is one fact that is simply undeniable -- it's hard to beat the relaxed luxury of a good Country House Plan.
Take HPG-2500-1, for instance. Imagine the smell of a family barbeque as you're sitting on the covered rear porch, complete with an outdoor kitchen, on a cool summer evening; or feel the warm sun trickle into the breakfast area as you read the newspaper on a cheery spring morning. Honestly, what is more relaxing than peaceful country living?
From the beginning, Country Home Design has kept beauty and practicality as its main focus. In fact, Andrew Jackson Downing, one of early America's premier architects really stressed this way of thinking in his book The Architecture of Country Houses. In 1859 he wrote that homes should always be useful, but warns that utility in itself is not enough. He described how homes can be useful, but have no beauty about them. Such buildings "completely answer the useful requirements of man, and give not a ray of pleasure or satisfaction to his heart or understanding." (p.7)
We know how the search for a house plan can be. You find a great plan, but continue looking, then when you try and find the first plan... you can't remember how you found it. Here at The Plan Collection you can save your favorite plans and we'll store them until you return to visit. Just create an account by providing a valid email address and a password. Then as you browse our house plans, you can add any to your wish list and return to view them at any time. Get started saving your favorite home plans by creating an account.
Need help finding the perfect home plan?
Finding the perfect home plan can be difficult if you don't know where to start. To help you we've implemented several searching techniques on our website. Find your house plan now by going to our home design search form, use the links on the navigation bar to your left, or click here to read more about your home plan search options.While you take a look at our house plans, we'll keep working to help you find your dream home design!
Need More Information?
Thanks for visiting our extensive house plan collection featuring the finest home plans from leading home designers and architects across North America. Here you will find great home plans of the most popular architectural styles. Our goal is to help you find house plans that will meet you and your family's needs. Should you have any questions, need additional information on the floor plans you are interested in, or just need some alternative elevations; please give us a call. Our representatives are happy to help and will do what they can to get you the information as soon as possible. You can reach us from 8-5 mountain time, or inquire about home plans by email. We'll respond as soon as possible.
Mkuu Semilong,kutoka web site hii mimi nimeona plani nzuri sana na tofauti, za nyumba kutoka sehemu mbali mbali duniani.
Mtu akikwambia plani fulani haifai(ile unayoipenda) basi ana matatizo ya upeo wa uelewa wake.
Kutoka kwenye site hii mimi nisha jenga nyumba tatu na ambazo zinapendeza sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.