Ramani ya jengo jipya ubungo terminal bus

BVR 2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
447
Reaction score
984
Hii ramani chini ni mchoro wa jengo jipya ambalo litajengwa ilipo sasa stendi ya mabasi ya mkoani ubungo,kampuni ya kichina kama kawqida imeandaa huu mchoro na itajenga ilo jengo
 
Heeh! Chadema tena, hii terminal si walisema itahamishiwa Mbezi?
Duh, tuna safari ndefu sana wabongo! Hivi ukiwa na mpango wa kulima nyanya, huwezi badilisha mpango huo na kuanza kulima vitunguu??
 
Hii ramani chini ni mchoro wa jengo jipya ambalo litajengwa ilipo sasa stendi ya mabasi ya mkoani ubungo,kampuni ya kichina kama kawqida imeandaa huu mchoro na itajenga ilo jengo
Mwanzoni nilijua bufee haya macho bana
 
Watanzania kwa kurupuka? Kwani mtoa mada kasema inajengwa stendi mpya? Kasema jengo litajengwa ilipo stendi ya ubungo.

Jii inamaana stendi ya ubungo itakuwa Mbezi mwisho, sehemu iliyopo stendi ya sasa ubungo, litajengwa hili jengo. Uwezekano mkubwa itakuwa Mall.
 
Ramani iko wapi hapo mkuu,maana naona 3d 's ya jengo na barabara
 
Nye watu bana wababaishaji sana. Juzi tu mlituletea michoro kwamba kutakuwa center kubwa ya Biashara Afrika .. Sijui watu watatoka Nairobi, Kigali, Bujumbura kuja kununua hapo.. leo vipi tena?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…