Ramani Ya Helligoland Treaty: Ziwa Nyasa Lote Liko Malawi


Uko sahihi Mkuu, cha kushangaza upande wa Msumbiji na Malawi mpaka upo katikati, I really wonder why the same didn't happen upande wa TZ....huu ni undezi kabisa.....utetezi unaotolewa hauna mashiko....Tukomae....
 
Hayo mambo yapo tume ya pamoja ya maridhiano kati ya Tanzania na Malawi sasa kuweka hiyo thread unamaanisha nn sasa
 
Ni ukweli mchungu sana. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Ziwa lote ni la Wamalawi.

Watanzania hatutaki vita wala ugomvi na majirani zetu, kama tuna hoja tuwahi mahakamani sheria ichukue mkondo wake.
unaonaje tukirudishiwa mikoa yetu miwili burundi na rwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…