Habari za asubuhi wana jamii kutokana na maisha kuwa tight sana naomba msaada wa ramani ya chumba master na sebule kwa wale wajuzi ili niikimbie hii adha ya kodi za nyumba asanteni sana
Tumeni michoro humu tufaidi wote uko watsaap kuna nini hili sio jukwaa kupiga pesa...hata mello mwenyewe angekua na tamaa ya pesa jf isingefika ilipo na isingekua free kama ivi ilivyo bila bundle tuna slide tu.