kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 16,116 Reaction score 18,601 Aug 8, 2021 #2 Na ww ni mtaalamu?
I iranna Senior Member Joined Aug 4, 2021 Posts 149 Reaction score 622 Aug 8, 2021 Thread starter #3 kawombe said: Na ww ni mtaalamu? Click to expand... Wa udaku yes
wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,051 Reaction score 2,463 Aug 10, 2021 #5 iranna said: View attachment 1885189 Click to expand... Hii plan ni sawa na plan ya nyumba ya wakata mikonge-manamba
iranna said: View attachment 1885189 Click to expand... Hii plan ni sawa na plan ya nyumba ya wakata mikonge-manamba
mwandende JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 11,364 Reaction score 21,442 Aug 10, 2021 #6 wajingawatu said: Hii plan ni sawa na plan ya nyumba ya wakata mikonge-manamba Click to expand... Mkuu hilo jina la avatar yako na ulicho comment sawa sawa.
wajingawatu said: Hii plan ni sawa na plan ya nyumba ya wakata mikonge-manamba Click to expand... Mkuu hilo jina la avatar yako na ulicho comment sawa sawa.
mwandende JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 11,364 Reaction score 21,442 Aug 10, 2021 #7 iranna said: View attachment 1885189 Click to expand... Ramani nzr sn kwa kuanzia mkuu,,nilikuwa na eneo langu Fulani kubwa shamani. Hii itafaa kuanzia maisha ya shambani. Safi sana mkuu.. Wachana na wachangiaji comment uchawara.
iranna said: View attachment 1885189 Click to expand... Ramani nzr sn kwa kuanzia mkuu,,nilikuwa na eneo langu Fulani kubwa shamani. Hii itafaa kuanzia maisha ya shambani. Safi sana mkuu.. Wachana na wachangiaji comment uchawara.
Guus JF-Expert Member Joined Jul 16, 2013 Posts 1,167 Reaction score 905 Aug 10, 2021 #8 Huu kwenye vyumba ni mlango ama mimi sielewi kusoma ramani? Kama ni ndiyo, ina maana akitokea mgeni upande huo akabisha hodi ndiyo anakatiza vyumbani kuelekea sebuleni!!!
Huu kwenye vyumba ni mlango ama mimi sielewi kusoma ramani? Kama ni ndiyo, ina maana akitokea mgeni upande huo akabisha hodi ndiyo anakatiza vyumbani kuelekea sebuleni!!!
Ilitara kimura JF-Expert Member Joined May 29, 2013 Posts 1,883 Reaction score 1,855 Aug 10, 2021 #9 Kweli hata mbuyu ulianza kama mchicha
wajingawatu JF-Expert Member Joined Jan 20, 2013 Posts 2,051 Reaction score 2,463 Aug 10, 2021 #10 mwandende said: Mkuu hilo jina la avatar yako na ulicho comment sawa sawa.m Click to expand... mwandende said: Mkuu hilo jina la avatar yako na ulicho comment sawa sawa. Click to expand... Hapana siyo sawa. Mwenye avatar anatuua kwa uviko, mimi sijaua mtu boss
mwandende said: Mkuu hilo jina la avatar yako na ulicho comment sawa sawa.m Click to expand... mwandende said: Mkuu hilo jina la avatar yako na ulicho comment sawa sawa. Click to expand... Hapana siyo sawa. Mwenye avatar anatuua kwa uviko, mimi sijaua mtu boss
mwandende JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 11,364 Reaction score 21,442 Aug 11, 2021 #11 wajingawatu said: Hapana siyo sawa. Mwenye avatar anatuua kwa uviko, mimi sijaua mtu boss Click to expand... Hilo jina la wajinga watu.. Ni fikirishi sana .
wajingawatu said: Hapana siyo sawa. Mwenye avatar anatuua kwa uviko, mimi sijaua mtu boss Click to expand... Hilo jina la wajinga watu.. Ni fikirishi sana .