Ramani nzuri ya nyumba

Labda ni GUCCI style ila kama ni ya kupaua kukosa kona kona haitapendeza

Pia haina master bedroom
 
Sipendi nyumba mlango mmoja mkubwa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Hapana kwa kweli mlango w kitchen na ws.kutizamana.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mtoa mada umeipendea nini hii ramani isiyo na mvuto!
 
Hongera kwa kujitadidi…LAKINI BADO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…