Ramani ndogo nzuri za nyumba za kisasa

Engineer mkuu

Member
Oct 11, 2014
99
21
Ramani ya nyumba ndogo nzuri ya vyumba vitatu. Ina Vipimo upana mita 9.5 kwa urefu wa mita 14. Ina Public toilet,jiko,sitting,Dinning,Master1 na vyumba viwili vyakawaida

Kununua mchoro huu Simu/Whatsapp 0717 040837

Pia tunachora Ramani nzuri zakisasa kwa bei nafuu sana kwa mawasoliano Zaidi whatsapp 0717 040837/0767267664
 
Attachments

  • POST 1.jpg
    POST 1.jpg
    183.1 KB · Views: 2,575
  • POST 2.jpg
    POST 2.jpg
    142.1 KB · Views: 2,804
Tunachora Ramani nzuri zakisasa kwa bei nafuu sana kwa mawasoliano Zaidi whatsapp 0717 040837/0767267664
 
Tunachora Ramani nzuri zakisasa kwa bei nafuu sana kwa mawasoliano Zaidi whatsapp 0717 040837/0767267664
Hata mimi nina hamu ya kufahamu bei ya ramani. Maana nimejenga nyumba kwa ramani ya ndugu yangu, sasa nataka kufuata taratibu ili niweze kuitengenezea hati, ila nimeambiwa inabidi kwanza niwe na ramani yenye jina langu niende nayo ofisi za Ardhi kwa taratibu nyinginezo.
 
Hivi kuna biashara isiyo na bei kweli?
Ramani ya nyumba ndogo nzuri ya vyumba vitatu. Ina Vipimo upana mita 9.5 kwa urefu wa mita 14. Ina Public toilet,jiko,sitting,Dinning,Master1 na vyumba viwili vyakawaida

Kununua mchoro huu Simu/Whatsapp 0717 040837

Pia tunachora Ramani nzuri zakisasa kwa bei nafuu sana kwa mawasoliano Zaidi whatsapp 0717 040837/0767267664
Weka bei hapa, sio tu kusema bei ndogo. Bei ndogo maana yake nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom