Ramani na design nzuri za nyumba

Ramani na design nzuri za nyumba

Joined
Feb 19, 2014
Posts
13
Reaction score
2
Tunajishughulisha na usanifu/uchoraji wa ramani bora za majengo aina zote , kudesign bustani ,kudesign ndani ya nyumba(interior design) na kutoa ushauri wa masuala ya ujenzi kwa bei nafuu. Karibuni sana tunapatikana maeneo ya makongo juu dar es salaam.wale wa mikoani pia tunaweza kuwafikia
 

Attachments

  • 1393793180467.jpg
    1393793180467.jpg
    122.7 KB · Views: 515
  • 1393793211278.jpg
    1393793211278.jpg
    59 KB · Views: 424
Tunajishughulisha na usanifu/uchoraji wa ramani bora za majengo aina zote , kudesign bustani ,kudesign ndani ya nyumba(interior design) na kutoa ushauri wa masuala ya ujenzi kwa bei nafuu. Karibuni sana tunapatikana maeneo ya makongo juu dar es salaam.wale wa mikoani pia tunaweza kuwafikia

Uko wapi mkuu niku pm
 
No makaptula hiyo ni software tunayotumia kunaksh design zetu kuzifanya zionekane kama real
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom