NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,278
- 24,078
Hakika ulichosema na ndivyo inatakiwa nyumba iwe ivyo.Na huo ndo ujenzi wa kisasa, mtu unaweka ramani ya Ofisi za Halmashauri unasema ni nyumba ya kuishi? Nyumba ina chumba cha kulala baba na mama, chumba cha watoto wakubwa wa kiume, cha watoto wadogo wa kiume, cha watoto wadogo wa kike, cha watoto wadogo wa kike, seble, dinning room, chumba cha maongezi, chumba cha kusomea, jiko, store, choo na bafu 3, chumba cha wageni.
Duh!
hahahaaaa,Na huo ndo ujenzi wa kisasa, mtu unaweka ramani ya Ofisi za Halmashauri unasema ni nyumba ya kuishi? Nyumba ina chumba cha kulala baba na mama, chumba cha watoto wakubwa wa kiume, cha watoto wadogo wa kiume, cha watoto wadogo wa kike, cha watoto wadogo wa kike, seble, dinning room, chumba cha maongezi, chumba cha kusomea, jiko, store, choo na bafu 3, chumba cha wageni.
Duh!
Mkuu mimi wala sijui hao watu, mimi natumia nguvu yangu, muda wangu na uwezo wangu. Hao jamaa wangelikua wa maana basi nadhani wangejikita zaidi kutafutia ajira magraduate wao tu.Ya kuchora ramani na kuzitangaza kwenye mitandao, hunajua sheria na kanuni za bodi ya wasanifu na wakadiriaji majenzi zinakataza hiki unachokifanya?[emoji28][emoji28]
Watanzania mwache ushamba ulaya mawazo kama haya hayapo mkuu. Hapa duniani unaweza kufanya lolote ambalo unaliweza, acha kuogopa ogopa. Nimekaa ulaya sijawai kutana mawazo ya kishamba kama haya.
hahaahhahahWacha mchezo fundi maiko wewe huyo ulikaa ulaya?
hakuna ramani hapo,
Kwanini usiniamini mkuuUnafikiri tutakuamini vipi
Njoo nikupevpagale Dodoma, 0712785395.Hiyo nyumba kwa Dom inasimama kwa bei gn? Gharama za ujenzi!
Bado sana aiseeLeo nawaletea karamani kapya.
Ni ingizo jipya kabisa.
View attachment 1684540
View attachment 1684541
View attachment 1684542
View attachment 1684543
View attachment 1684544
View attachment 1684546
View attachment 1684545
View attachment 1684547
View attachment 1684548
View attachment 1684549
View attachment 1684550
View attachment 1684551