Vijana mkishajua kuvuta node na wall kwenye Archicad baaaassss imetosha sio?????.... Architecture is more than that broo.. nakucirtisize ili uwe bora zaidi.. hiyo design ni mbaya, not well thought of, lots of details missing ++++++++++

Mkuu kuwa mpole utaona vitu vikali zaidi ya hivyo vinakuja yaani huo ni mwanzo tu na hii kazi ni endelevu kwenye hili jukwaa.
Nilishajua challenge yangu ni software nayotumia ni ya demo. Sasa ninampango wa kuvuta software yenyewe. Vitu vikali vitaporomoshwa humu bure bila chenga.