Aliyekuwa kipa wa Young African SC(Yanga) Ramadhani Kabwili amesainiwa katika club ya RayonSport(Rwanda) yenye maskani yake Katika jiji la Kigali.
Kabwili amepewa kandarasi ya mwaka mmoja ambayo ataanza kuitumikia katika msimu huu mpya unaoanza.
Kila la kheri kwake kijana
View attachment 2327237