Ramadhan Mbwaduke ndiye Mchambuzi Bora wa Mchezo wa Mpira wa Miguu kwasasa hapa Nchini

kukumsela

JF-Expert Member
Oct 13, 2018
721
907
Wakuu habarii zenu, husikeni na somo tajwa hapo juu.

Naanza na kukiri kuwa Katika nchini yetu kuwa kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na wachambuzi wengi ambao mimi binafsi nawaita Makanjanja lakini huyu jamaa anaitwa Ramadhan Mbwaduke yuko nondo mnoo huku nikimfananisha na manguli kati eneo hilo kama vile Graeme Souness, Grary Neville, Lee Dixon, Alan Hansen, Glenn Hoddle, George Ambangile, Godlisten Muro na wengineo wengi.
Naomba kuwasisha tafadhali
View attachment 2522707
 
Huyo ni mtoa statistics, na siyo mchambuzi. Hana kingine zaidi ya stats alizoshika kichwani. Mchambuzi ni kama George Ambangalile
 
Bongo wachambuzi wengi ni wazushi tu. Siasa za simba na Yanga zimewaathiri sana.
 
Bongo wachambuzi wengi ni wazushi tu. Siasa za simba na Yanga zimewaathiri sana.
Bongo hakuna mchambuzi wote wana kuwa PRO ACTIVE badala ya kuwa PRE ACTIVE.Yaani baada ya kuwa mpira umeshaisha,ndio watachambua mapungufu kibao!!ila kabla ya mechi walikuwa wameongea tofauti kabisa!!!Kidogo amri kiembe huwa anajitahidi kuwa mkweli .
 
Kama GENTA humu Jamii forum
 
Wachambuzi wa mpira ni wawili Kiyemba na Ally Mayai wengine wajanja wajanja wa mjini. Ukiangalia EPL na baadhi ya vipindi vyao ndipo utajua Tanzania hamna wa chambuzi hamna.

Kuna wachezaji kibao Mapro wa zamani wapewe hizo nafasi na ndio maana EPL vipindi vya uchambuzi ni zaidi ya burudani,kwani kwanza wanajua mpira, wameucheza mpira mpaka madaraja ya juu na wana experience, wanachambua sometimes wana refer na matukio ya nyuma. Bongo huku ujanja ujanja tu.
 
Back
Top Bottom