Haya ni mashaka yangu hasa baada umeme kukatika wakati timu zinajiandaa kuingia uwanjani kuanza kipindi cha kwanza kwenye Uwanja wa Jakaya Kikwete Youth Park.
Hili si jambo la kulichukulia poa , na uchunguzi wetu unaendelea.
Natania tu- Tarehe ya jana waganga wa jadi waligeuza kibuyu upande wa mfarakano.
Hata game zingechezwa kuna timu ingegomea Penart au mashabiki kuingia uwanjani kumchapa mwamuzi. Tunguli zimeiokoa timu fulani na kuharibu michezo yote ambayo ingechezwa Dar.